Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Huyo ni Msabato, maana yake ni mtu wa kupumzika na kustarehe siku ya Saba ya Juma.Ubarikiwe sana mkuu...yaani umetema point tupu
Hili andiko anawalenga Kanisa Katoriki.
Nabii wao Allen G. White, alianzisha kanisa la Sabato kwa lengo la kuwakosoa Wakatoriki kuhusu kufanya Ibada siku ya Jumapili.
Mwisho wake Wasabato wanaendeleza mafundisho ya chuki dhidi ya Wakatoriki badala ya kuhubiri msamaha wa dhambi na wokovu kwa jina la Kristo.
Ukikutana na Msabato kitu cha kwanza kukuuliza ni "je unaabudu Jumamosi?
Ukimjibu ndio naabudu Jumamosi, kwake wewe ni Mtakatifu hata kama ni mchawi mlozi.
Matokeo yake wamejikuta wanaiabudu siku ya Jumamosi, badala ya kuitumia kupumzika na kustarehe kama walivyo amriwa katika Amri Kumi za Musa.
Siku Jumamosi imekuwa ni Sanamu kwao.
Ellen White amewapoteza Mwelekeo