Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Wanaiabudu Jumamosi.Msabato ni mtumwa wa torati.
Ni watu wanalolitumikia andiko na sio Neno na kweli ya Mungu.
Andiko huua bali Neno la Mungu huponya
Jumamosi ni sanamu kwao.
Mtu wa Mungu haishi kwa kutegemea Majungu na Chuki.
Ndio maana, nikasema, Mungu hana Dini, wala Ukabila, wala Chawa flani.
Mungu anawapenda watu wote, hata wasio mwelewa, alishuka katika Jina la Yesu, ili kuongea na watu wake kama alivyoshuka kwa Binadamu katika Mwanzo 18:1.….
Mungu anasikia Lugha zote na Yeye ndio alizo ziasisi.