Ewe Mkristo, nani alikwambia kukusanyika kila Jumapili kwa ajili ya Ibada?

Ewe Mkristo, nani alikwambia kukusanyika kila Jumapili kwa ajili ya Ibada?

Salam, Shalom!!

Ni Kweli, Yesu alituagiza kuwa "Tusiache kukusanyika" wapi alisema tukusanyike Jumapili?

Ibada na kutafakari neno la Mungu ni muda wote, mchana na usiku,

Na Ibada Takatifu ni Ile ifanyikayo katika Roho na Kweli.

Na Mungu hufanya KAZI muda wote, hata sasa afanya KAZI.

Mungu anakuuliza Ewe Mkristo kupitia thread hii, ni nani aliyekwambia kukusanyika Jumapili Kwa ibada takatifu?

Ukiulizwa andiko utalitoa wapi?

NB: Mkristo aulizwaye swali hili ni yule aliyeokoka, aliyebatizwa Kwa maji mengi na Kwa Moto wa Roho Mtakatifu, yule aaminiye juu ya karama Tano, unabii ukiwemo, aaminiye juu ya kunena Kwa lugha, aliyefunguliwa macho ya Rohoni na kuisikia sauti ya Roho mtakatifu wazi WAZI.

ANGALIZO; Hii Si mada kuhusu Ukristo kama DINI, Bali Ukristo kama IMANI juu ya Yesu Kristo na maisha matakatifu.

Karibuni.🙏
Wewe shida yako ni nini? Si acha kukusanyika Jumapili? Kwa nini uhangaike na watu wengine? Mimi nakusanyika Jumapili na nafanya hivyo kwa hiari yangu.
 
Unawauliza Wakristo tena.
Kwani Wasabato sio Wakristo?

Sisi huku Dubai tunakutana na kufanya ibada siku Ijumaa.

Kwakuwa ni siku ya mapumziko ya Serikali ya huku.

Ila ibada za kijumuiya na kifamilia zinafanyika siku yoyote Kanisani au Nyumbani kwa mwanajumuiya panapotokea nafasi ya muda,
Pamoja na Jumamosi.
Wasabato Si wakristo, ingawa ndani ya wasabato, wapo wakristo Wachache wenye sifa nilizozitaja hapo juu.

Ikiwa unakusanyika Kwa Ibada Kwa kufuata holidays zilizopangwa na Sirikali,

Siku sirikali ikipiga MARUFUKU holidays, utaacha kukusanyika Ili kuitii sirikali?
 
Yohana anasema "Nalikuwa rohoni siku ya ya Bwana" .
Wewe ndo utajua kuwa siku zote ni za Bwana na unatakiwa kumuabudu ktk roho na kweli. Dubai wanakutana ijumaa. Tanzania Jumapili, Israel Jumamosi.
Inshu ya jumapili ilitoka ktk dhana ya kuhesabu siku Yesu alipofufuka baada ya kufa. Maana kuwa alifufuka jumapili. Na siku hiyo mitume na wanafunzi walikuwa pamoja kwa hofu wakijifungia pamoja.

Msingi mkuu ni kufufuka. Kuna sehemu Paulo anasema siku ya kwanza ya juma tulikutana kumega mkate. Sasa inshu itakuwa je jumapili ni siku ya kwanza kwa juma? Je kwa kalenda au utaratibu upi? Ndiyo maana kigezo Cha siku ya tatu ya kufufuka kinakiwa na mashiko zaidi.
 
Wasabato Si wakristo, ingawa nadani ya wasabato, wapo wakristo Wachache wenye sifa nilizozitaja hapo juu.

Ikiwa unakusanyika Kwa Ibada Kwa kufuata holidays zilizopabgwa na Sirikali,

Siku sirikali ikipiga MARUFUKU holidays, utaacha kukusanyika kuitii sirikali?
Nimekuwekea hapo kuwa huwa tunakusanyika siku yoyote tunayopata nafasi na sio siku za mapumziko ya Kiserikali tu.

Ngoja Nikuwekee hapa chini maamrisho ya Mungu wakati wa Agano la kale kwa Wana wa Israeli.

Soma.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:1 Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia,

Mambo ya Walawi (Lev) 23:2 Nena na wana wa Israeli, na kuwaambia, Sikukuu za BWANA, ambazo mtazipigia mbiu kuwa ni makusanyiko matakatifu; hizi ni sikukuu zangu.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:3 Mtafanya kazi siku sita; lakini siku ya saba ni Sabato ya kustarehe kabisa, kusanyiko takatifu; msifanye kazi ya namna yo yote; ni Sabato kwa BWANA katika makao yenu yote.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:4 Sikukuu za BWANA ni hizi, ni makusanyiko matakatifu, ambayo mtayapigia mbiu kwa nyakati zake.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:5 Mwezi wa kwanza, siku ya kumi na nne ya mwezi wakati wa jioni, ni pasaka ya BWANA.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:6 Na siku ya kumi na tano ya mwezi ule ule ni sikukuu kwa BWANA ya mkate usiotiwa chachu; mtaila mikate isiyochachwa muda wa siku saba.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:7 Siku ya kwanza mtakuwa na kusanyiko takatifu msifanye kazi yo yote ya utumishi.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:8 Lakini mtasongeza sadaka kwa BWANA kwa njia ya moto siku saba; siku ya saba ni kusanyiko takatifu; msifanye kazi yo yote ya utumishi.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:9 Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia,

Mambo ya Walawi (Lev) 23:10 Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Hapo mtakapokuwa mmekwisha ingia hiyo nchi niwapayo, na kuyavuna mavuno yake, ndipo mtakapomletea kuhani mganda wa malimbuko ya mavuno yenu;

Mambo ya Walawi (Lev) 23:11 naye atautikisa mganda mbele za BWANA ili kwamba ukubaliwe kwa ajili yenu; siku ya pili baada ya Sabato kuhani atautikisa.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:12 Na siku hiyo mtakayoutikisa mganda, mtamsongeza mwana-kondoo wa kiume mkamilifu wa mwaka wa kwanza awe sadaka ya kuteketezwa kwa BWANA.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:13 Na sadaka yake ya unga itakuwa sehemu za kumi mbili za efa za unga mwembamba uliochanganywa na mafuta, ni kafara iliyosongezwa kwa BWANA kwa moto kuwa harufu ya kupendeza; na sadaka yake ya kinywaji itakuwa ni divai, robo ya hini.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:14 Nanyi msile mkate, wala bisi, wala masuke machanga, hata siku iyo hiyo, hata mtakapokuwa mmekwisha kuleta sadaka ya Mungu wenu; hii ni amri ya milele katika vizazi vyenu katika makao yenu yote.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:15 Nanyi mtajihesabia tangu siku ya pili baada ya Sabato, tangu siku hiyo mliyouleta mganda wa sadaka ya kutikiswa; zitatimia Sabato saba;

Mambo ya Walawi (Lev) 23:16 hata siku ya pili ya hiyo Sabato ya saba mtahesabu siku hamsini; nanyi mtamsongezea BWANA sadaka ya unga mpya.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:17 Mtatoa katika makao yenu mikate miwili ya kutikiswa, itakuwa ya sehemu za kumi mbili za efa; itakuwa ya unga mwembamba, itaokwa na chachu, iwe malimbuko kwa BWANA.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:18 Nanyi, pamoja na hiyo mikate, mtasongeza wana-kondoo saba, walio wakamilifu, wa mwaka wa kwanza, na ng’ombe mume mmoja, na kondoo waume wawili; watakuwa sadaka ya kuteketezwa kwa BWANA, pamoja na sadaka yao ya unga, na sadaka zao za kinywaji, sadaka ya harufu ya kupendeza iliyosongezwa kwa BWANA kwa njia ya moto. <

Mambo ya Walawi (Lev) 23:19 Nanyi mtasongeza mbuzi mume mmoja kuwa sadaka ya dhambi, na wana-kondoo wawili waume wa mwaka wa kwanza kuwa dhabihu ya sadaka za amani.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:20 Kisha kuhani atawatikisa pamoja na hiyo mikate ya malimbuko kuwa sadaka ya kutikiswa mbele za BWANA, pamoja na wale wana-kondoo wawili; watakuwa watakatifu kwa BWANA, wawe wa huyo kuhani.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:21 Nanyi mtapiga mbiu siku iyo hiyo; kutakuwa na kusanyiko takatifu kwenu; msifanye kazi yo yote ya utumishi; ni amri ya milele katika makao yenu yote, katika vizazi vyenu.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:22 Nanyi hapo mtakapovuna mavuno ya nchi yenu, usivune kabisa kabisa pembe za shamba lako, wala msiyakusanye masazo ya mavuno yako; utayaacha kwa ajili ya huyo maskini, na mgeni; mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:23 Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia,

Mambo ya Walawi (Lev) 23:24 Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Mwezi wa saba, siku ya kwanza ya mwezi, kutakuwa na kustarehe kabisa kwenu, ni ukumbusho wa kuzipiga baragumu, ni kusanyiko takatifu.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:25 Msifanye kazi yo yote ya utumishi; nanyi mtasongeza sadaka kwa BWANA kwa njia ya moto.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:26 Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia,

Mambo ya Walawi (Lev) 23:27 Lakini siku ya kumi ya mwezi huo wa saba ni siku ya upatanisho; itakuwa kusanyiko takatifu kwenu, nanyi mtazitesa nafsi zenu; nanyi mtasongeza sadaka kwa BWANA kwa njia ya moto.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:28 Nanyi msifanye kazi yo yote siku hiyo; kwa kuwa ni siku ya upatanisho, ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu mbele za BWANA, Mungu wenu. <

Mambo ya Walawi (Lev) 23:29 Kwa kuwa mtu awaye yote asiyejitesa mwenyewe siku iyo hiyo, atakatiliwa mbali na watu wake.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:30 Na mtu ye yote afanyaye kazi ya namna yo yote siku hiyo, mtu huyo nitamwangamiza atoke katika watu wake.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:31 Msifanye kazi ya namna yo yote; ni amri ya milele katika vizazi vyenu, katika makao yenu yote. <

Mambo ya Walawi (Lev) 23:32 Itakuwa kwenu sabato ya kustarehe kabisa, nanyi mtazitesa nafsi zenu; siku ya kenda ya mwezi wakati wa jioni, tangu jioni hata jioni, mtaishika hiyo Sabato yenu.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:33 Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia,

Mambo ya Walawi (Lev) 23:34 Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Siku ya kumi na tano ya mwezi huo wa saba ni sikukuu ya vibanda muda wa siku saba kwa BWANA.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:35 Siku ya kwanza kutakuwa na kusanyiko takatifu; msifanye kazi yo yote ya utumishi.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:36 Mtamsongezea BWANA sadaka kwa moto siku saba; siku ya nane kutakuwa na kusanyiko takatifu kwenu; nanyi mtamsongezea BWANA sadaka kwa moto; ni mkutano wa makini huu; msifanye kazi yo yote ya utumishi.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:37 Sikukuu za BWANA ni hizi, ambazo mtazipigia mbiu ya kuwa ni makusanyiko matakatifu, ili mmsongezee BWANA sadaka kwa moto, sadaka ya kuteketezwa, na sadaka ya unga, na dhabihu, na sadaka za kinywaji, kila sadaka kwa siku yake;

Mambo ya Walawi (Lev) 23:38 zaidi ya hizo Sabato za BWANA, na zaidi ya matoleo yenu, na zaidi ya hizo nadhiri zenu zote, na zaidi ya sadaka zenu za hiari, ambazo mwampa BWANA.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:39 Lakini siku ya kumi na tano ya mwezi wa saba, hapo mtakapokuwa mmekwisha kuyachuma mavuno ya nchi, mtaweka sikukuu ya BWANA muda wa siku saba; siku ya kwanza kutakuwa na kustarehe kabisa, na siku ya nane kutakuwa na kustarehe kabisa.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:40 Nanyi siku ya kwanza mtajipatia matunda ya miti mizuri, na makuti ya mitende, na matawi ya miti minene, na mierebi ya vijitoni; nanyi mtafurahi mbele za BWANA, Mungu wenu, muda wa siku saba.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:41 Nanyi mtaishika kuwa sikukuu kwa BWANA muda wa siku saba katika mwaka; ni amri ya milele katika vizazi vyenu; mtaishika katika mwezi wa saba.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:42 Mtakaa katika vibanda muda wa siku saba; wazalia wote wa Israeli watakaa katika vibanda;

Mambo ya Walawi (Lev) 23:43 ili vizazi vyenu vipate kujua ya kuwa niliwaketisha wana wa Israeli katika vibanda, hapo nilipowaleta kutoka nchi ya Misri; mimi ndimi BWANA Mungu wenu.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:44 Naye Musa akawaambia wana wa Israeli hizo sikukuu za BWANA.
.........................................................

{Mnao kazia siku za makusanyiko matakatifu mnazingatia makusanyiko Kama yalivyoamriwa katika Agano la Kale ?
Katika makusanyiko hayo ipo Siku ya Saba na ipo Siku ya Kwanza ya Juma 23:7 }
 
Nimekuwekea hapo kuwa huwa tunakusanyika siku yoyote tunayopata nafasi na sio siku za mapumziko ya Kiserikali tu.

Ngoja Nikuwekee hapa chini maamrisho ya Mungu wakati wa Agano la kale kwa Wana wa Israeli.

Soma.

Mambo ya Walawi (Lev) 23:1 Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia,

And the LORD spake unto Moses, saying,
Mambo ya Walawi (Lev) 23:2 Nena na wana wa Israeli, na kuwaambia, Sikukuu za BWANA, ambazo mtazipigia mbiu kuwa ni makusanyiko matakatifu; hizi ni sikukuu zangu.

Speak unto the children of Israel, and say unto them, Concerning the feasts of the LORD, which ye shall proclaim to be holy convocations, even these are my feasts.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:3 Mtafanya kazi siku sita; lakini siku ya saba ni Sabato ya kustarehe kabisa, kusanyiko takatifu; msifanye kazi ya namna yo yote; ni Sabato kwa BWANA katika makao yenu yote.

Six days shall work be done: but the seventh day is the sabbath of rest, an holy convocation; ye shall do no work therein: it is the sabbath of the LORD in all your dwellings.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:4 Sikukuu za BWANA ni hizi, ni makusanyiko matakatifu, ambayo mtayapigia mbiu kwa nyakati zake.

These are the feasts of the LORD, even holy convocations, which ye shall proclaim in their seasons.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:5 Mwezi wa kwanza, siku ya kumi na nne ya mwezi wakati wa jioni, ni pasaka ya BWANA.

In the fourteenth day of the first month at even is the LORD'S passover.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:6 Na siku ya kumi na tano ya mwezi ule ule ni sikukuu kwa BWANA ya mkate usiotiwa chachu; mtaila mikate isiyochachwa muda wa siku saba.

And on the fifteenth day of the same month is the feast of unleavened bread unto the LORD: seven days ye must eat unleavened bread.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:7 Siku ya kwanza mtakuwa na kusanyiko takatifu msifanye kazi yo yote ya utumishi.

In the first day ye shall have an holy convocation: ye shall do no servile work therein.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:8 Lakini mtasongeza sadaka kwa BWANA kwa njia ya moto siku saba; siku ya saba ni kusanyiko takatifu; msifanye kazi yo yote ya utumishi.

But ye shall offer an offering made by fire unto the LORD seven days: in the seventh day is an holy convocation: ye shall do no servile work therein.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:9 Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia,

And the LORD spake unto Moses, saying,
Mambo ya Walawi (Lev) 23:10 Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Hapo mtakapokuwa mmekwisha ingia hiyo nchi niwapayo, na kuyavuna mavuno yake, ndipo mtakapomletea kuhani mganda wa malimbuko ya mavuno yenu;

Speak unto the children of Israel, and say unto them, When ye be come into the land which I give unto you, and shall reap the harvest thereof, then ye shall bring a sheaf of the firstfruits of your harvest unto the priest:
Mambo ya Walawi (Lev) 23:11 naye atautikisa mganda mbele za BWANA ili kwamba ukubaliwe kwa ajili yenu; siku ya pili baada ya Sabato kuhani atautikisa.

And he shall wave the sheaf before the LORD, to be accepted for you: on the morrow after the sabbath the priest shall wave it.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:12 Na siku hiyo mtakayoutikisa mganda, mtamsongeza mwana-kondoo wa kiume mkamilifu wa mwaka wa kwanza awe sadaka ya kuteketezwa kwa BWANA.

And ye shall offer that day when ye wave the sheaf an he lamb without blemish of the first year for a burnt offering unto the LORD.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:13 Na sadaka yake ya unga itakuwa sehemu za kumi mbili za efa za unga mwembamba uliochanganywa na mafuta, ni kafara iliyosongezwa kwa BWANA kwa moto kuwa harufu ya kupendeza; na sadaka yake ya kinywaji itakuwa ni divai, robo ya hini.

And the meat offering thereof shall be two tenth deals of fine flour mingled with oil, an offering made by fire unto the LORD for a sweet savour: and the drink offering thereof shall be of wine, the fourth part of an hin.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:14 Nanyi msile mkate, wala bisi, wala masuke machanga, hata siku iyo hiyo, hata mtakapokuwa mmekwisha kuleta sadaka ya Mungu wenu; hii ni amri ya milele katika vizazi vyenu katika makao yenu yote.

And ye shall eat neither bread, nor parched corn, nor green ears, until the selfsame day that ye have brought an offering unto your God: it shall be a statute for ever throughout your generations in all your dwellings.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:15 Nanyi mtajihesabia tangu siku ya pili baada ya Sabato, tangu siku hiyo mliyouleta mganda wa sadaka ya kutikiswa; zitatimia Sabato saba;

And ye shall count unto you from the morrow after the sabbath, from the day that ye brought the sheaf of the wave offering; seven sabbaths shall be complete:
Mambo ya Walawi (Lev) 23:16 hata siku ya pili ya hiyo Sabato ya saba mtahesabu siku hamsini; nanyi mtamsongezea BWANA sadaka ya unga mpya.

Even unto the morrow after the seventh sabbath shall ye number fifty days; and ye shall offer a new meat offering unto the LORD.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:17 Mtatoa katika makao yenu mikate miwili ya kutikiswa, itakuwa ya sehemu za kumi mbili za efa; itakuwa ya unga mwembamba, itaokwa na chachu, iwe malimbuko kwa BWANA.

Ye shall bring out of your habitations two wave loaves of two tenth deals: they shall be of fine flour; they shall be baken with leaven; they are the firstfruits unto the LORD.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:18 Nanyi, pamoja na hiyo mikate, mtasongeza wana-kondoo saba, walio wakamilifu, wa mwaka wa kwanza, na ng’ombe mume mmoja, na kondoo waume wawili; watakuwa sadaka ya kuteketezwa kwa BWANA, pamoja na sadaka yao ya unga, na sadaka zao za kinywaji, sadaka ya harufu ya kupendeza iliyosongezwa kwa BWANA kwa njia ya moto.

And ye shall offer with the bread seven lambs without blemish of the first year, and one young bullock, and two rams: they shall be for a burnt offering unto the LORD, with their meat offering, and their drink offerings, even an offering made by fire, of sweet savour unto the LORD.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:19 Nanyi mtasongeza mbuzi mume mmoja kuwa sadaka ya dhambi, na wana-kondoo wawili waume wa mwaka wa kwanza kuwa dhabihu ya sadaka za amani.

Then ye shall sacrifice one kid of the goats for a sin offering, and two lambs of the first year for a sacrifice of peace offerings.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:20 Kisha kuhani atawatikisa pamoja na hiyo mikate ya malimbuko kuwa sadaka ya kutikiswa mbele za BWANA, pamoja na wale wana-kondoo wawili; watakuwa watakatifu kwa BWANA, wawe wa huyo kuhani.

And the priest shall wave them with the bread of the firstfruits for a wave offering before the LORD, with the two lambs: they shall be holy to the LORD for the priest.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:21 Nanyi mtapiga mbiu siku iyo hiyo; kutakuwa na kusanyiko takatifu kwenu; msifanye kazi yo yote ya utumishi; ni amri ya milele katika makao yenu yote, katika vizazi vyenu.

And ye shall proclaim on the selfsame day, that it may be an holy convocation unto you: ye shall do no servile work therein: it shall be a statute for ever in all your dwellings throughout your generations.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:22 Nanyi hapo mtakapovuna mavuno ya nchi yenu, usivune kabisa kabisa pembe za shamba lako, wala msiyakusanye masazo ya mavuno yako; utayaacha kwa ajili ya huyo maskini, na mgeni; mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.

And when ye reap the harvest of your land, thou shalt not make clean riddance of the corners of thy field when thou reapest, neither shalt thou gather any gleaning of thy harvest: thou shalt leave them unto the poor, and to the stranger: I am the LORD your God.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:23 Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia,

And the LORD spake unto Moses, saying,
Mambo ya Walawi (Lev) 23:24 Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Mwezi wa saba, siku ya kwanza ya mwezi, kutakuwa na kustarehe kabisa kwenu, ni ukumbusho wa kuzipiga baragumu, ni kusanyiko takatifu.

Speak unto the children of Israel, saying, In the seventh month, in the first day of the month, shall ye have a sabbath, a memorial of blowing of trumpets, an holy convocation.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:25 Msifanye kazi yo yote ya utumishi; nanyi mtasongeza sadaka kwa BWANA kwa njia ya moto.

Ye shall do no servile work therein: but ye shall offer an offering made by fire unto the LORD.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:26 Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia,

And the LORD spake unto Moses, saying,
Mambo ya Walawi (Lev) 23:27 Lakini siku ya kumi ya mwezi huo wa saba ni siku ya upatanisho; itakuwa kusanyiko takatifu kwenu, nanyi mtazitesa nafsi zenu; nanyi mtasongeza sadaka kwa BWANA kwa njia ya moto.

Also on the tenth day of this seventh month there shall be a day of atonement: it shall be an holy convocation unto you; and ye shall afflict your souls, and offer an offering made by fire unto the LORD.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:28 Nanyi msifanye kazi yo yote siku hiyo; kwa kuwa ni siku ya upatanisho, ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu mbele za BWANA, Mungu wenu.

And ye shall do no work in that same day: for it is a day of atonement, to make an atonement for you before the LORD your God.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:29 Kwa kuwa mtu awaye yote asiyejitesa mwenyewe siku iyo hiyo, atakatiliwa mbali na watu wake.

For whatsoever soul it be that shall not be afflicted in that same day, he shall be cut off from among his people.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:30 Na mtu ye yote afanyaye kazi ya namna yo yote siku hiyo, mtu huyo nitamwangamiza atoke katika watu wake.

And whatsoever soul it be that doeth any work in that same day, the same soul will I destroy from among his people.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:31 Msifanye kazi ya namna yo yote; ni amri ya milele katika vizazi vyenu, katika makao yenu yote.

Ye shall do no manner of work: it shall be a statute for ever throughout your generations in all your dwellings.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:32 Itakuwa kwenu sabato ya kustarehe kabisa, nanyi mtazitesa nafsi zenu; siku ya kenda ya mwezi wakati wa jioni, tangu jioni hata jioni, mtaishika hiyo Sabato yenu.

It shall be unto you a sabbath of rest, and ye shall afflict your souls: in the ninth day of the month at even, from even unto even, shall ye celebrate your sabbath.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:33 Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia,

And the LORD spake unto Moses, saying,
Mambo ya Walawi (Lev) 23:34 Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Siku ya kumi na tano ya mwezi huo wa saba ni sikukuu ya vibanda muda wa siku saba kwa BWANA.

Speak unto the children of Israel, saying, The fifteenth day of this seventh month shall be the feast of tabernacles for seven days unto the LORD.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:35 Siku ya kwanza kutakuwa na kusanyiko takatifu; msifanye kazi yo yote ya utumishi.

On the first day shall be an holy convocation: ye shall do no servile work therein.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:36 Mtamsongezea BWANA sadaka kwa moto siku saba; siku ya nane kutakuwa na kusanyiko takatifu kwenu; nanyi mtamsongezea BWANA sadaka kwa moto; ni mkutano wa makini huu; msifanye kazi yo yote ya utumishi.

Seven days ye shall offer an offering made by fire unto the LORD: on the eighth day shall be an holy convocation unto you; and ye shall offer an offering made by fire unto the LORD: it is a solemn assembly; and ye shall do no servile work therein.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:37 Sikukuu za BWANA ni hizi, ambazo mtazipigia mbiu ya kuwa ni makusanyiko matakatifu, ili mmsongezee BWANA sadaka kwa moto, sadaka ya kuteketezwa, na sadaka ya unga, na dhabihu, na sadaka za kinywaji, kila sadaka kwa siku yake;

These are the feasts of the LORD, which ye shall proclaim to be holy convocations, to offer an offering made by fire unto the LORD, a burnt offering, and a meat offering, a sacrifice, and drink offerings, every thing upon his day:
Mambo ya Walawi (Lev) 23:38 zaidi ya hizo Sabato za BWANA, na zaidi ya matoleo yenu, na zaidi ya hizo nadhiri zenu zote, na zaidi ya sadaka zenu za hiari, ambazo mwampa BWANA.

Beside the sabbaths of the LORD, and beside your gifts, and beside all your vows, and beside all your freewill offerings, which ye give unto the LORD.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:39 Lakini siku ya kumi na tano ya mwezi wa saba, hapo mtakapokuwa mmekwisha kuyachuma mavuno ya nchi, mtaweka sikukuu ya BWANA muda wa siku saba; siku ya kwanza kutakuwa na kustarehe kabisa, na siku ya nane kutakuwa na kustarehe kabisa.

Also in the fifteenth day of the seventh month, when ye have gathered in the fruit of the land, ye shall keep a feast unto the LORD seven days: on the first day shall be a sabbath, and on the eighth day shall be a sabbath.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:40 Nanyi siku ya kwanza mtajipatia matunda ya miti mizuri, na makuti ya mitende, na matawi ya miti minene, na mierebi ya vijitoni; nanyi mtafurahi mbele za BWANA, Mungu wenu, muda wa siku saba.

And ye shall take you on the first day the boughs of goodly trees, branches of palm trees, and the boughs of thick trees, and willows of the brook; and ye shall rejoice before the LORD your God seven days.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:41 Nanyi mtaishika kuwa sikukuu kwa BWANA muda wa siku saba katika mwaka; ni amri ya milele katika vizazi vyenu; mtaishika katika mwezi wa saba.

And ye shall keep it a feast unto the LORD seven days in the year. It shall be a statute for ever in your generations: ye shall celebrate it in the seventh month.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:42 Mtakaa katika vibanda muda wa siku saba; wazalia wote wa Israeli watakaa katika vibanda;

Ye shall dwell in booths seven days; all that are Israelites born shall dwell in booths:
Mambo ya Walawi (Lev) 23:43 ili vizazi vyenu vipate kujua ya kuwa niliwaketisha wana wa Israeli katika vibanda, hapo nilipowaleta kutoka nchi ya Misri; mimi ndimi BWANA Mungu wenu.

That your generations may know that I made the children of Israel to dwell in booths, when I brought them out of the land of Egypt: I am the LORD your God.
Mambo ya Walawi (Lev) 23:44 Naye Musa akawaambia wana wa Israeli hizo sikukuu za BWANA.

And Moses declared unto the children of Israel the feasts of the LORD.
Aliyekupa maelekezo ya kukusanyika siku utakayopata muda kulingana na ratiba zenu za KAZI ni nani?

Twende Polepole.
 
Wewe shida yako ni nini? Si acha kukusanyika Jumapili? Kwa nini uhangaike na watu wengine? Mimi nakusanyika Jumapili na nafanya hivyo kwa hiari yangu.
Mungu alikuagiza utumie hiari Yako kukusanyika?

Unalo andiko?

Na maagizo hayo ulipewa au kuyasikia lini?
 
Mungu alikuagiza utumie hiari Yako kukusanyika?

Unalo andiko?

Na maagizo hayo ulipewa au kuyasikia lini?
Nimekuwekea Makusanyiko matakatifu hapo juu Kama Mungu alivyo Agiza.
Yazingatie.

"Palipo wawili watatu wamekusanyika kwa ajiri yangu Mimi nipo katikati yao."

Kama Roho Mtakatifu ameagiza katika Agano Jipya kuwa muda wowote tukikusanyika kwa ajiri yake, Yeye anakuwepo katikati yetu, Mimi ni Nani nimbishie ?

Wewe zingatia makusanyiko Kama yalivyo agizwa katika.
Mambo ya Walawi 23:1...

Na siku ya Jumapili ipo 23:7
 
Mambo ya Walawi 23:1...

Na siku ya Jumapili ipo 23:7
(Mambo ya walawi 23:7)

Inasema siku ya kwanza ya mwezi wa sikukuu ya pasaka,

Haijasema siku ya kwanza ya juma.

Swali halijajibiwa Bado!!
 
(Mambo ya walawi 23:7)

Inasema siku ya kwanza ya mwezi wa sikukuu ya pasaka,

Haijasema siku ya kwanza ya juma.

Swali halijajibiwa Bado!!
Nimekuelewa.

Kumbe katika 23:3 Aya imetamka wazi kabisa ni siku ya kwanza ya [emoji117]Juma.

Na katika 23: 7 aya imetamka siku ya kwanza ya [emoji117]Mwezi.

Na katika 23:6 Aya imekosea kutamka siku ya kumi na tano ya. [emoji117] Mwezi.

Mambo ya Walawi 23

3 Mtafanya kazi siku sita; lakini siku ya saba ni Sabato ya kustarehe kabisa, kusanyiko takatifu; msifanye kazi ya namna yo yote; ni Sabato kwa Bwana katika makao yenu yote.

6 Na siku ya kumi na tano ya [emoji117]mwezi ule ule ni sikukuu kwa Bwana ya mkate usiotiwa chachu; mtaila mikate isiyochachwa muda wa siku saba.

7 Siku ya kwanza mtakuwa na kusanyiko takatifu msifanye kazi yo yote ya utumishi.

Nimekuelewa sana.
 
Umenena vyema.

Yesu anarudi kulikusanya KANISA lile la kwanza,

Ndo sababu anawauliza, nani alikwambia kukusanyika Jumapili Kwa ajili ya IBADA?

Karibu ndugu Erythrocyte
Yesu hawezi kurudi leo wala kesho kama mpaka leo hii wafuasi wake hakuna hata mmoja anae yajua mafundisho kwa usahihi, na kama wapo basi hawazidi 5% kati ya 100%, yaani kiufupi kuna gape la 95% ya wapumbavu na wajinga wasiojua mafundisho sahihi ni yapi, na ndio hawa hawa kutwa kubishania dhehebu lipi ni sahihi na lipi si sahihi.

Sasa unadhani huyo Yesu mwenye upendo atakubari kuwaacha watu 95% waangamie kisa kuna hao welevu wachache 5%? Hata kama ni hasira za kutokomeza uovu lkn haiwezi kuwa hivyo lazima mizani ibalance kidogo hata welevu wafikie hata 45% ndipo huyo yesu atawarudia hawa kuwachukua.

Ila kwa sasa mtasubiri saana,mtaomba saana, mtahubiri saana na kupiga makelele makanisani huyo yesu harudi ng'oo kwakuwa bado hamumjuwi hata yeye ni nani haswa.

Back to topic, hayo makanisa yanayoabudu jumapili&jumamos au kwa kufuata taratibu fulani ni kwasababu yapo chini ya mfumo mmoja wa kishetan ambao unacontrol dunia kupitia taasisi za kidini(kiimani&kijamii), pia mfumo huu huu unacontrol dunia ktk taasisi za kifedha&kiuchumi, kisiasa na ndio huu mfumo mnaitaga ktk vijiwe vya kahawa ni freemason wengine huita illuminat, wengine New world order au vyovyote muitavyo lkn hao wanaoabudu makanisani na misikitin woote wanafuata na kuitii Sauti ya Mungu mkuu wa dunia hii anayejificha ktk kivuli cha majina mazuri ya Uungu Sjui Allah,Jesus,Jehova,elishadai na majina mengine mnayomuita huko ktk ibada zenu huyo ndie master na mind controller wa ulimwengu huu kiufupi wanamuabudu SHETANI,

Huu ndio ukweli ambao mchungaji&shekhe wako hawezi kukwambia ili kukulinda kondoo wake usikengeuke yaani usitoroke mtegoni mwa biashara hii tamu ya kidini.

Wajanja tulishashituka mapema sana tukazikataa hizo dini zenu za kuletewa maana zimejawa uongo mtupu.

Niishie hapa nisiwachanganye.
 
Salam, Shalom!!

Ni Kweli, Yesu alituagiza kuwa "Tusiache kukusanyika" wapi alisema tukusanyike Jumapili?

Ibada na kutafakari neno la Mungu ni muda wote, mchana na usiku,

Na Ibada Takatifu ni Ile ifanyikayo katika Roho na Kweli.

Na Mungu hufanya KAZI muda wote, hata sasa afanya KAZI.

Mungu anakuuliza Ewe Mkristo kupitia thread hii, ni nani aliyekwambia kukusanyika Jumapili Kwa ibada takatifu?

Ukiulizwa andiko utalitoa wapi?

NB: Mkristo aulizwaye swali hili ni yule aliyeokoka, aliyebatizwa Kwa maji mengi na Kwa Moto wa Roho Mtakatifu, yule aaminiye juu ya karama Tano, unabii ukiwemo, aaminiye juu ya kunena Kwa lugha, aliyefunguliwa macho ya Rohoni na kuisikia sauti ya Roho mtakatifu wazi WAZI.

ANGALIZO; Hii Si mada kuhusu Ukristo kama DINI, Bali Ukristo kama IMANI juu ya Yesu Kristo na maisha matakatifu.

Karibuni.🙏
Utaratibu huu tumejiwekea wenyewe. Wewe shida yako Ni Nini?
Mbona sisi hatuwaingilii katika kwenda kupewa mabikra wengi? Kuna aliyehoji ninyi kwenda kufaidi ngono?
 
Siku zote ni njema kwa Mungu kwa sababu Mungu yuko siku zote. Sababu ya kanisa kupanga ibada kuu ya wiki infantile siku ya jumapili pamoja na sababu zilizotangulia kusemwa na wengine ni kwa sababu Yesu ambaye ndiye kiini cha Imani yetu alifufuka siku hiyo asubuhi na mapema. Neno la Mungu linathibitisha hilo hapo chini.

Mathayo 28:1-10
[1]Hata sabato ilipokwisha, ikipambazuka siku ya kwanza ya juma, Mariamu Magdalene, na Mariamu yule wa pili, walikwenda kulitazama kaburi.
In the end of the sabbath, as it began to dawn toward the first day of the week, came Mary Magdalene and the other Mary to see the sepulchre.
[2]Na tazama, palikuwa na tetemeko kubwa la nchi; kwa sababu malaika wa Bwana alishuka kutoka mbinguni, akaja akalivingirisha lile jiwe akalikalia.
And, behold, there was a great earthquake: for the angel of the Lord descended from heaven, and came and rolled back the stone from the door, and sat upon it.
[3]Na sura yake ilikuwa kama umeme, na mavazi yake meupe kama theluji.
His countenance was like lightning, and his raiment white as snow:
[4]Na kwa kumwogopa, wale walinzi wakatetemeka, wakawa kama wafu.
And for fear of him the keepers did shake, and became as dead men.
[5]Malaika akajibu, akawaambia wale wanawake, Msiogope ninyi; kwa maana najua ya kuwa mnamtafuta Yesu aliyesulibiwa.
And the angel answered and said unto the women, Fear not ye: for I know that ye seek Jesus, which was crucified.
[6]Hayupo hapa; kwani amefufuka kama alivyosema. Njoni, mpatazame mahali alipolazwa.
He is not here: for he is risen, as he said. Come, see the place where the Lord lay.
[7]Nanyi nendeni upesi, mkawaambie wanafunzi wake, Amefufuka katika wafu. Tazama, awatangulia kwenda Galilaya; ndiko mtakakomwona. Haya, nimekwisha waambia.
And go quickly, and tell his disciples that he is risen from the dead; and, behold, he goeth before you into Galilee; there shall ye see him: lo, I have told you.
[8]Wakaondoka upesi kutoka kaburini, kwa hofu na furaha nyingi, wakaenda mbio kuwapasha wanafunzi wake habari.
And they departed quickly from the sepulchre with fear and great joy; and did run to bring his disciples word.
[9]Na tazama, Yesu akakutana nao, akisema, Salamu! Wakakaribia wakamshika miguu, wakamsujudia.
And as they went to tell his disciples, behold, Jesus met them, saying, All hail. And they came and held him by the feet, and worshipped him.
[10]Kisha Yesu akawaambia, Msiogope; enendeni, mkawaambie ndugu zangu waende Galilaya, ndiko watakakoniona.
Then said Jesus unto them, Be not afraid: go tell my brethren that they go into Galilee, and there shall they see me.
 
Salam, Shalom!!

Ni Kweli, Yesu alituagiza kuwa "Tusiache kukusanyika" wapi alisema tukusanyike Jumapili?

Ibada na kutafakari neno la Mungu ni muda wote, mchana na usiku,

Na Ibada Takatifu ni Ile ifanyikayo katika Roho na Kweli.

Na Mungu hufanya KAZI muda wote, hata sasa afanya KAZI.

Mungu anakuuliza Ewe Mkristo kupitia thread hii, ni nani aliyekwambia kukusanyika Jumapili Kwa ibada takatifu?

Ukiulizwa andiko utalitoa wapi?

NB: Mkristo aulizwaye swali hili ni yule aliyeokoka, aliyebatizwa Kwa maji mengi na Kwa Moto wa Roho Mtakatifu, yule aaminiye juu ya karama Tano, unabii ukiwemo, aaminiye juu ya kunena Kwa lugha, aliyefunguliwa macho ya Rohoni na kuisikia sauti ya Roho mtakatifu wazi WAZI.

ANGALIZO; Hii Si mada kuhusu Ukristo kama DINI, Bali Ukristo kama IMANI juu ya Yesu Kristo na maisha matakatifu.

Karibuni.🙏
Dini ni utapeli tu
 
Wewe unakusanyika lini kwani?
KANISA la kwanza linarudi mahala pake kujiandaa Kwa UNYAKUO.

Kuanzia 2024 na kuendelea, Kanisa Kwa maana ya mtu aliyeokoka, atatafuta kurudi na kusikiza maagizo ya Mungu na siku kuu ya kukusanyika itarudi kama awali.

Kuhusu Mimi nakusanyika wapi, nami nitakuuliza Nabii Yohana mbatizaji au Elia walikuwa wanakusanyika wapi?

KAZI yetu ni kuonya ,kukaripia na kuelekeza makanisa.

UBARIKIWE.
 
Back
Top Bottom