Ewe mzazi, kabla ya kumpa mtoto jina, fikiria kitaa, ujana wake na shuleni ataishije nalo. Mtoto wa kiume anaitwa "Cesi"....

Kuna jamaa baba alikuwa mchungaji kabisa akamuita mtoto wake Jesca.Shuleni alikuwa anakipata cha moto akajiongezea jina akaanza kujiita Jescariote .
Jesca Mtoto wa Kiume?
Huyo Mchungaji Bure kabisa..
 
Reactions: EEX
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…