Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juli at least lakini sio sesiEva (Evance) noma Sana!, au Julius kuwa Juli!
Aisee..Ndo hao kina "Musiba" tunaona laana ya hayo majina yanavyowatafuna.
Jesca Mtoto wa Kiume?Kuna jamaa baba alikuwa mchungaji kabisa akamuita mtoto wake Jesca.Shuleni alikuwa anakipata cha moto akajiongezea jina akaanza kujiita Jescariote .
Chai mandaziKuna rafikiang alikuwa anaitwa pendo alafu ni mwanaume eti.
Zawadi, furaha, eliupendo,elieza haya yote hayampendezi mtoto wa kiume piaw
Maandazi sio mandaziChai mandazi