Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka kwa sautiKuna jamaa baba alikuwa mchungaji kabisa akamuita mtoto wake Jesca.Shuleni alikuwa anakipata cha moto akajiongezea jina akaanza kujiita Jescariote .
MutambalaJoyce Lomalisa
Huko kwao wapi labda ulaya lakini bongo hii mtoto wa kiume akishaitwa sesi ni tatizo.Huenda huko kwao sio shida
Bado anakua junior ndio maana hata wakiwa watu wazima wanakuwa na akili za kitotoJunior...
60 years later...
Na kuna yule wa Yanga alikuwa anaitwa JOYCE na kocha wao alikuwa anaitwa LUCYKuna yule wa Simba SC anaitwa Deborah
🤣🤣🤣nilivyompiga konzi la utosi ikawa mwisho hadi leo ni Mariposa
JINA baya kuwahi tokeaJunior...
60 years later...
SeniorJunior...
60 years later...
Mkuu unaelewa nini kuhusu Culture Diversity?Kuna yule wa Simba SC anaitwa Deborah
Kabisa, una muweka mtoto kwenye hali ya mbaya.. Tena mtoto mwenyewe akiwa sio mbabe ndio kabisaa
Ni kweli hilo ni jinala kisukuma,uchagani kuna ukoo wa mboroo walijibadilisha ukoo sababu ya ukakasi wa jinaKuna kijiji kimoja nilienda nikakuta kuna mmama kamwita mwanae kumalija ni jina asili ya kisukuma sio mbaya sas shida ikaja jamii aliyopo ni tofauti na usukumani basi wakawa wanamkatisha wanamuita mama lkn wanaitoa hiyo lija ya mwisho inabak tafran, hauwez amin ilikuja kuwa kero kwa mama mtu hata kabla ya mtoto kufikia huko uliposema.