Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewahi kufuatilia Joyce ina maana gani katika lugha yao?Joyce Lomalisa
Hahahahaa balaa Bichwa wangu. Haujawahi kuniangusha kwa vituko..Usiombe ukutane na kamama chenye DIPLOMA yaanii ni full kujifanya mzungu koko, hata jina la mwanae atachagua yeye atatafuta majina ya kwenye tamthiliya za kizungu na kumbandika mtoto!
Mtoto anaitwa FRUCTOSE, mara sijui SALTELYN... 😁😁😁😁
MAMA CELTEL, mama JONEL 😁😁
Nakubaliana na wewe kabisaEwe mzazi ukiwa unatafuta jina la kumpa mtoto wako punde baada ya kujitungua, kifiria kwanza hilo jina akifika muda wa balehe (ujana) ataweza kuishi nalo mbele ya vijana wenzake??
Watoto wengi sana wanafanyiwa bullying kupitia majina yako na wanaishia kuyakataa au kutenda uhalifu.
Juzi hapa kitaa kuna dogo alimpiga dogo mwenzie jiwe la kichwa eti kisa ameitwa "sesi"
Yeye hataki kuitwa sesi ila anataka aitwe "Cecil" kwa madai kuwa sesi ni jina la kike.
Ewe mzazi think twice kabla ya kutenda..
Kwenye jina kama hilo kifupi kinatakiwa kuwa ELI.Kuna rafikiang alikuwa anaitwa pendo alafu ni mwanaume eti.
Zawadi, furaha, eliupendo,elieza haya yote hayampendezi mtoto wa kiume piaw
umeandika vizuri ila mwishoni umezingua, Baba Junior hilo jina lina shida gani ? ni jina la kike hilo ??TATIZO NI KWAMBA...ZOEZI LA UTOAJI MAJINA KWA WATOTO LIMETAWALIWA NA AKINA MAMA...AMBAO WANAPENDA MAJINA SPECIAL UNIQUE YA KIZUNGU YA KITURUKI NA KIFILIPINO AMBAYO AKIMWITA MWANAE LITAKUWA NDILO JINA HILO HILO MWANAE ATAKUWA ANAITWA MTAA MZIMA...
Mfano: jina ulilotolea mfano hapo la CECIL...ni jina ambalo kwenye jamii za kizungu ni jina la kawaida tu na kukatishwa haliwezekani kuitwa CECI...ila sisi wabongo hayo sio majina yetu...majina yetu ni ya akina Juma, Jacob, amosi...naam...
TAMTHILIA ZINAWAPONZA AKINA MAMA...KUFIKIA HATUA WANAWAPA WATOTO MAJINA YA AJABU YA WAIGIZAJI WA KWENYE HIZO TAMTHILIA ZAO...TENA HAYANA HADHI YA KIUME KWENYE JAMII ZETU...
NINAO MTAANI KWETU MTOTO WAKE AMWITA RAHMET(Huyo ni mtoto wa kiume huyo), YAANI MWANAMKE JINA LIKIWA ZURI TU MDOMONI ANAMPA MWANAE.
KAMA BABA USIPOJITAMBUA NA KUWA NA NGUVU NA MSIMAMO...NDIO HIVYO NA MALEZI YA MTOTO WA KIUME ATAYASIMAMIA MWANAMKE WAKO...UTATUTENGENEZEA MASHOGA MITAANI...
ETI MWANAUME ANAKUBALI KUITWA BABA JEY...Yaani baba Juniaa... Sasa huyo hapo juu wabongo hatunaga majina hayo...tutamuita BABA CESI...Baassiiiiiiii...
Cecil ni jina la kibantu? mfano nilioutoa unaendana na hilo jina alilosema mtoa mada kama issue ni culture diversityMkuu unaelewa nini kuhusu Culture Diversity?
Ishu ya Deborah na mfano wa mleta mada ni mazingira mawili na nyakati tofauti.
Hayo majina yanatumika na jinsia zoteKuna yule wa Simba SC anaitwa Deborah
Sas shida hapo mkuu sio jina ila shida ni hilo jina linaendana na nature ya mahala ulipo baasi.Ni kweli hilo ni jinala kisukuma,uchagani kuna ukoo wa mboroo walijibadilisha ukoo sababu ya ukakasi wa jina
Ujinga kama huu utaukuta Afrika na hsa Tanzania tu. Watu wanaona ni kashfa kufananishwa na mwanamke! Mbaona kuna majina yanatumika kwenye jinsia zote?Ewe mzazi ukiwa unatafuta jina la kumpa mtoto wako punde baada ya kujitungua, kifiria kwanza hilo jina akifika muda wa balehe (ujana) ataweza kuishi nalo mbele ya vijana wenzake??
Watoto wengi sana wanafanyiwa bullying kupitia majina yako na wanaishia kuyakataa au kutenda uhalifu.
Juzi hapa kitaa kuna dogo alimpiga dogo mwenzie jiwe la kichwa eti kisa ameitwa "sesi"
Yeye hataki kuitwa sesi ila anataka aitwe "Cecil" kwa madai kuwa sesi ni jina la kike.
Ewe mzazi think twice kabla ya kutenda..
Mimi ishu ilikuwa ni kwenye kuliandika na kulitaja jina langu "Umar" shule niliyosoma primary kulikuwa na ticha mmoja kila tukifanya hzi test za mwezi unakuta kabadilisha kwenye "U" kaweka "O" anahisi nimekoseaIshu ni kua wabongo wanapenda sana kukatisha majina, siipendi hiyo tabia nakumbuka hata mimi kwenye ukuaji wangu kama nisingekaza ilikua naitwa Mari ndo nini sasa😳 baadae wakataka iwe Posa nilivyompiga konzi la utosi ikawa mwisho hadi leo ni Mariposa
[emoji1787]Cecil meIla Ceci liko sexy sana
hata joyce lomalisa na ilikuwa shega tu, kwa wacongoman hii ni kitu ya kawaida..Kuna yule wa Simba SC anaitwa Deborah
ni kweli ila kibongobongo ina ukakasi mfano. Mtu amuite joyce mbele za watuhata joyce lomalisa na ilikuwa shega tu, kwa wacongoman hii ni kitu ya kawaida..