Ewe mzazi, kabla ya kumpa mtoto jina, fikiria kitaa, ujana wake na shuleni ataishije nalo. Mtoto wa kiume anaitwa "Cesi"....

Ewe mzazi, kabla ya kumpa mtoto jina, fikiria kitaa, ujana wake na shuleni ataishije nalo. Mtoto wa kiume anaitwa "Cesi"....

Watoto wengi sana wanafanyiwa bullying kupitia majina yako na wanaishia kuyakataa au kutenda uhalifu.

Juzi hapa kitaa kuna dogo alimpiga dogo mwenzie jiwe la kichwa eti kisa ameitwa "sesi"

Yeye hataki kuitwa sesi ila anataka aitwe "Cecil" kwa madai kuwa sesi ni jina la kike.

Ewe mzazi think twice kabla ya kutenda..
Kuna mwana BAWACHA anaitwa Celestine
 
Juzi hapa kitaa kuna dogo alimpiga dogo mwenzie jiwe la kichwa eti kisa ameitwa "sesi"

Yeye hataki kuitwa sesi ila anataka aitwe "Cecil" kwa madai kuwa sesi ni jina la kike.
Huenda wazazi wake wanatokea Makete maana kule mtu kuitwa Cassette, Antenna, Keyboard, Fanta, Saxaphone ni kawaida
 
Ewe mzazi ukiwa unatafuta jina la kumpa mtoto wako punde baada ya kujitungua, kifiria kwanza hilo jina akifika muda wa balehe (ujana) ataweza kuishi nalo mbele ya vijana wenzake??

Watoto wengi sana wanafanyiwa bullying kupitia majina yako na wanaishia kuyakataa au kutenda uhalifu.

Juzi hapa kitaa kuna dogo alimpiga dogo mwenzie jiwe la kichwa eti kisa ameitwa "sesi"

Yeye hataki kuitwa sesi ila anataka aitwe "Cecil" kwa madai kuwa sesi ni jina la kike.

Ewe mzazi think twice kabla ya kutenda..
Wazazi wangu waliwaza mbali kunipa jina linaoendana na mimi nilivyo
 
Mtaani kwetu kuna mdada anaitwa " Dulah".

Ni jirani yetu she was something like 5 years older than me. She was married in 2004 nadhani baada ya kupata mtoto jina limekufa.

Kuna wanawake wanaitwa Haruna
Haruna Harun
Abdula Abdul
Rashida Rashid
Farida Farid
Salima Salim
Shabani Mwashabani
Hija Mwahija
Josepha Joseph
Immanuela Immanuel
Joana Joan
Erica Eric
Franka Frank
Gaudencia Gaudence
Habiba Habib
Karista Karist
Nasra Nasri
Valelia Valeli
Saida Said
 
Mimi ishu ilikuwa ni kwenye kuliandika na kulitaja jina langu "Umar" shule niliyosoma primary kulikuwa na ticha mmoja kila tukifanya hzi test za mwezi unakuta kabadilisha kwenye "U" kaweka "O" anahisi nimekosea

Siku moja akaja kuniita ananiambia niwe naandika vizuri jina nikamwambia jina langu ndo linaandikwa hivyo. Na kwenye kutaja kuna wengine waliita "yumari" wengine "Uma". Nikawa nawaacha tu kila mtu aite anavyotaka
Bado na wale wa kuita "Omali", inakera sana mtu kukuharibia jina na usikae kimya msahishe mara moja anapolikosea
 
Kuna jamaa yangu yeye alisema hataki irabu kwenye jina la mtoto na liwe na konnsonanti tatu tu akaibuka na na jina la mtoto anaitwa NYX alipolitoa anajua yeye.
Mi wangu nataka nimuite Sunny/Sunnie
Unaonaje😂
 
Back
Top Bottom