Ewura: Bei ya gesi ya kupikia imepanda kwa kati ya Tsh 2000 hadi 5000 kutokana na kupanda kwenye soko la dunia

Hivyo ndivyo serikali inapaswa kutatua matatizo siyo eti inatwambia sijui mapenzi ya Mungu.
 
Naanza kuhisi gesi ya mtwara ilishauzwa yote. Hapa sisi tumepigwa kimya chetu ndio kiama chetu.
 
Unapandisha bei ya bidhaa muhimu kwa zaidi ya miaka 5 mfulilizo lkn mishahara na masla mengine hayarekebishwi huo si ungwana hata kidogo.
Kisayansi hii ni wanasema natural immunity system inafanya kazi. Kwamba usipodeal na tatizo then kinga ya asili itadeal nalo.

So dawa ya CCM inajitengeneza taratibu. Na wakitoka hawatakuja kurudi tena na watafutwa katika history ya nchi hii.

Very soon
 
HAHAHAA
WAMAMA WANA HURUMA
 
Tumeendelea kupigwa na kitu kizito utosini. Sio poa hata kidogo!
 
Gesi bei juu bati bei juu,reject tu elf 22,mpya 35 tutaezeka kwa nyasi
 
Waipandishe tena kupikia gas ni anasa.Chuma isome 100,000Tshs kwa ule mdogo na ule mkubwa usome hata millioni kasoro.

Ili tuheshimiane hapa mjini , kule kwenye mafuta wapeleke mpak 3,000-5,000 kwa lita heshima iwepo mjini.

Huku tukirudi maji yasipatikane kabisa tununue kuanzia litre 2,000Tshs.

Hapo ndio tutachangamka na uchumi bado bei ndogo sana hizi.
 
Jus Kati Kuna mtu Tena kijana tu kanunua gari pale Toyota million m315 cash sas cjui. Hyo gesi na mafuta anafeel vep Hana hbr
 
Yaani kila kukicha ni majanga tu,, mara umeme, mara mafuta, mara maji, mara tozo, mara cement, mara vifaa vya ujenzi haya na leo gesi tena,,,
Hiiiiiiiiii twafwaaaaaaa______
 
Ina maana hawajui kuchakata na kusindika GESi ya Tz hadi wanaongelea kupanda kwa bei ya gesi ya nje?
Au ni vile wanasemaga gesi ya Tz siyo ya Tz anymore !
 
Kwanini asitafutwe mwekezaji mwenye nguvu akashirikiana na Tpdc wakapanua usambazaji wa gesi ya kupikia ?
Mbona tpdc wameanza kuwafungia watu wa Mtwara gesi ya kupikia
 
Majibu ya kikao cha COP21 kuhusu hatma ya mazingira yetu.

Tunaisoma kimya kimya na hakuna la kufanya
 
Watanzania hawataki katiba mpya, wanataka maji, umeme, gesi, ajira!

Alisikika mlevi mmoja aliyelewa pombe ya kijani na vichaa kadhaa wanaojiita wanyonge wakamshangilia.
Suala la kupanda kwa gesi halina uhusiano wowote na katiba
 
Alafu wanataka kuokoa mazingira kwa staili hii kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…