Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
[emoji38][emoji38][emoji38]! Nimecheka sana waalah!Ukiendekeza hizi tabia utaanza kuwa mtu wa ajabu kwenye jamii
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38]! Nimecheka sana waalah!Ukiendekeza hizi tabia utaanza kuwa mtu wa ajabu kwenye jamii
Hivyo ndivyo serikali inapaswa kutatua matatizo siyo eti inatwambia sijui mapenzi ya Mungu.Huku Dodoma kuna bawa lilijengwa na Mjerumani tangu miaka ya 50 na bado mpk leo lipo na linatoa maji kwajili ya kilimo cha umwagiliaji na matumizi mengine na halijawahi kukauka
Mabawa kama hayo yangejengwa na Serikali km alivyofanya mjerumani shida ya maji isingekuwepo.
Naanza kuhisi gesi ya mtwara ilishauzwa yote. Hapa sisi tumepigwa kimya chetu ndio kiama chetu.Baadae utawasikia, kufikia mwaka 2025 tutapiga marufuku matumizi ya mkaa na kuni ili kulinda mazingira. Huyo ni bwana J.Makamba.
Unapigaje marufuku ya matumizi ya hizo nishati wakati hujajenga mazingira rafiki watu wa kipato cha chini kutumia nishati mbadara?
Mkazo ungewekwa kitengenezwe kiwanda cha kuchakata gesi ya mtwara kwa ajili ya matumizi ya ndani.
Lakini nchi hii hatujui tushike wapi tunashika kila kitu hadi hakuna kinachifanikiwa hata kwa asilima 60.
Yani we are jack of many trades, master of none.
Ajabu yani toka kipindi hicho mpaka sasa hakuna kwianda cha kuprocess gesi ya mtwara ili itumike kwa matumizi ya kupikia ndani. Bado tuan import gas.
Hivi bado tunawaza kuwa hii nchi itakuja kulingana na nchi kama Singapore hata baada ya miaka 100 au tutaendelea laumu wakoloni?
Kisayansi hii ni wanasema natural immunity system inafanya kazi. Kwamba usipodeal na tatizo then kinga ya asili itadeal nalo.Unapandisha bei ya bidhaa muhimu kwa zaidi ya miaka 5 mfulilizo lkn mishahara na masla mengine hayarekebishwi huo si ungwana hata kidogo.
CCM na ilaaniweGesi ipo Mtwara kweli ila yote tumewauzia wazungu... sasa wazungu wanatuuzia sisi
HAHAHAAMamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa bei ya Gesi ya kupikia kwa kati ya Tsh. 2,000 hadi Tsh. 5,000 kulingana na ujazo wa Mtungi
Mabadiliko ya bei hizo ni kutokana na kupanda kwa bei ya Gesi katika Soko la Dunia. EWURA imesema kampuni za Gesi ndizo zitaamua lini zipandishe bei na kwa kiwango gani
---
Watanzania aliyetuloga sijui ni nani
Hawa jamaa wanaamua kutufanya wanavyotaka na hatuna la kuwafanya
Tozo, mafuta juu, gas juu maji na umeme wa kuungaunga
Machinga ndiyo kama vile wametiwa hasara bila kujali
Kwa kifupi tu gas ya 22000 itauzwa 24000
Na ya 53000 itauzwa 58000
Nadhani hii imeanza leo au itaanza kesho kwa mitungi ya oryx
Wananchi tupo tu tunaona ewala
Kuna wakati najilaumu
Ukitaka kumjua mtanzania vizuri lete habari ya yanga au simba au watu waonewe katika nyanja hiyo ndiyo utajua hujui lakini kwenye habari za msingi zinazohusu maisha moja kwa moja hakuna anayejali
Kaichukue, kwani unadhani kila gesi ni majiMtwara kuna Gas ila mbona tunafanyiwa ukatili wa rasilimali zetu.
Nakwambia ukweli tena wadhani?! [emoji23][emoji23][emoji23]
Amen .... Walaaniwe kweli kweli mbwa hawa.CCM na ilaaniwe
Ina maana hawajui kuchakata na kusindika GESi ya Tz hadi wanaongelea kupanda kwa bei ya gesi ya nje?Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa bei ya Gesi ya kupikia kwa kati ya Tsh. 2,000 hadi Tsh. 5,000 kulingana na ujazo wa Mtungi
Mabadiliko ya bei hizo ni kutokana na kupanda kwa bei ya Gesi katika Soko la Dunia. EWURA imesema kampuni za Gesi ndizo zitaamua lini zipandishe bei na kwa kiwango gani
---
Watanzania aliyetuloga sijui ni nani
Hawa jamaa wanaamua kutufanya wanavyotaka na hatuna la kuwafanya
Tozo, mafuta juu, gas juu maji na umeme wa kuungaunga
Machinga ndiyo kama vile wametiwa hasara bila kujali
Kwa kifupi tu gas ya 22000 itauzwa 24000
Na ya 53000 itauzwa 58000
Nadhani hii imeanza leo au itaanza kesho kwa mitungi ya oryx
Wananchi tupo tu tunaona ewala
Kuna wakati najilaumu
Ukitaka kumjua mtanzania vizuri lete habari ya yanga au simba au watu waonewe katika nyanja hiyo ndiyo utajua hujui lakini kwenye habari za msingi zinazohusu maisha moja kwa moja hakuna anayejali
Majibu ya kikao cha COP21 kuhusu hatma ya mazingira yetu.Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa bei ya Gesi ya kupikia kwa kati ya Tsh. 2,000 hadi Tsh. 5,000 kulingana na ujazo wa Mtungi
Mabadiliko ya bei hizo ni kutokana na kupanda kwa bei ya Gesi katika Soko la Dunia. EWURA imesema kampuni za Gesi ndizo zitaamua lini zipandishe bei na kwa kiwango gani
---
Watanzania aliyetuloga sijui ni nani
Hawa jamaa wanaamua kutufanya wanavyotaka na hatuna la kuwafanya
Tozo, mafuta juu, gas juu maji na umeme wa kuungaunga
Machinga ndiyo kama vile wametiwa hasara bila kujali
Kwa kifupi tu gas ya 22000 itauzwa 24000
Na ya 53000 itauzwa 58000
Nadhani hii imeanza leo au itaanza kesho kwa mitungi ya oryx
Wananchi tupo tu tunaona ewala
Kuna wakati najilaumu
Ukitaka kumjua mtanzania vizuri lete habari ya yanga au simba au watu waonewe katika nyanja hiyo ndiyo utajua hujui lakini kwenye habari za msingi zinazohusu maisha moja kwa moja hakuna anayejali
Suala la kupanda kwa gesi halina uhusiano wowote na katibaWatanzania hawataki katiba mpya, wanataka maji, umeme, gesi, ajira!
Alisikika mlevi mmoja aliyelewa pombe ya kijani na vichaa kadhaa wanaojiita wanyonge wakamshangilia.