Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Bidhaa ya gesi haina perfect substitute .... Hizo kanuni zina apply kama bidhaa ina perfect substitute.Ukiona mfanyab8ashara amepandisha bei ya kitu na bado watu wananunua tu, ujue watu wanamudu.
Watu wakishindwa kununua kwasababu ya bei maana yake, itabidi wafanyabiashara washushe bei ili mzigo uende.
Hilo ndio soko huria.
Mfano. Mkate ukipanda bei kuna maandazi, chapati, keki na vitumbua.
Pepsi ikipanda bei kuna coca-cola etc
Maji ya Kilimanjaro yakipanda bei kuna hillwater na mengineyo.
So ni ngumu sana bidhaa ambayo haina mbadala timilifu kukosa wateja inapopanda bei.
Ndio maana tunasisitiza sana kuwe na ushindani wa wachimbaji wa gesi yaani isiwe from a single source. Na umeme pia kuwe na producer wa umeme cheap zaidi ya huu wa tanesco. Ili tumfunze adabu tanesco ashushe bei.