Somoche
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 6,795
- 9,143
Wewe unaejua sana vitu tueleze vizuri umbali wa Dar Arusha na Umbali wa Tanga Arusha wapi karibu??? Serikali imesema lengo ni kupunguza gharama zisizokuwa na maana na ndio hizo, wewe professor unasema ooh lengo ni kuua biashara ya mafuta, zero mind...Tatizo msiojua kitu huwa mnaandika sana
Hivi unazan bei ya mafuta ya kichukuliwa Tanga na ya kichukuliwa Dar kwa mtumiaji wa Dongobesh,hydom,longido,Pasua na hata maramba ya Tanga zitapishanaa?
Kuna kitu hujui hii kitu inampango wa kuua biashara ya mafuta nchini