Wewe unaejua sana vitu tueleze vizuri umbali wa Dar Arusha na Umbali wa Tanga Arusha wapi karibu??? Serikali imesema lengo ni kupunguza gharama zisizokuwa na maana na ndio hizo, wewe professor unasema ooh lengo ni kuua biashara ya mafuta, zero mind...Tatizo msiojua kitu huwa mnaandika sana
Hivi unazan bei ya mafuta ya kichukuliwa Tanga na ya kichukuliwa Dar kwa mtumiaji wa Dongobesh,hydom,longido,Pasua na hata maramba ya Tanga zitapishanaa?
Kuna kitu hujui hii kitu inampango wa kuua biashara ya mafuta nchini
HAKI, UHURU NA MAENDELEO YA WATU. Tayari wauzaji wemenyanganywa uhuru wao wa kununua kwa wanayetakaEWURA imeagiza wasambazaji wote wa bidhaa za petroli mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara kuanza kuchukua bidhaa hizo kutoka Bandari ya Tanga, na si sehemu nyingine...
Hivi ushawahi kutoa mzigo bandarini?Wewe unaejua sana vitu tueleze vizuri umbali wa Dar Arusha na Umbali wa Tanga Arusha wapi karibu? Serikali imesema lengo ni kupunguza gharama zisizokuwa na maana na ndio hizo, wewe professor uchwara unasema ooh lengo ni kuua biashara ya mafuta, zero mind...
Tatizo msiojua kitu huwa mnaandika sana
Hivi unazan bei ya mafuta ya kichukuliwa Tanga na ya kichukuliwa Dar kwa mtumiaji wa Dongobesh,hydom,longido,Pasua na hata maramba ya Tanga zitapishanaa?
Kuna kitu hujui hii kitu inampango wa kuua biashara ya mafuta nchini
Ndugu huoni wewe umeshindwa kufikiri kwa kina? Jambo la kwanza hapa ni kutafuta sababu kwanini mtu anachukuwa mafuta Dar halafu anakwenda kuuza Segera wakati Tanga ni km 70 tu! Dara ni mbali hivyo kwa hali ya kawaida gharama itakuwa juu. Sasa kwanini mfanyabiashara anaamua kuingia gharama kubwa wakati kuna option ya kupunguza gaharama kwa kwenda Tanga? Je Tanga kulikuwa hakuna hii huduma? Haya ndiyo mambo ya mtu mwenye akili anatakiwa kujiuliza kabla hujaandika ulichoandika.Wanaumia vipi?? wakati mwingine tuwe wakweli hivi unapochukua mafuta Dar ukauze Segera wakati Tanga ni Km 70 tu kutoka Segera na unaweza kuyapata Pale Tanga ni kipi bora?? maana ya serikali ni kuwa na maamuzi Mazuri ambayo yanasaidia watu wengi kwa pamoja na hilo ndio maana ya kuwainua watu. Kuwainua sio kuwapa mihela hilo halipo wala kuwambia kaaeni tu nyumbani bila kazi!!!
Yaseme hayo Mazito ili yajulikane ambayo Tanga Ni Mkoa wa Nchi hii unayo na Dar Hayapo na ni Nchi MojaUsikimbilie kutukana
Hivi ushawahi kutoa mzigo bandarini?
Shida sio distance ndio maana nakuambia hata petrol station za tanga zinatumia mafuta ya dar Tatizo ni msururu wa vikwazo vya kibiashara
Hizi biashara kubwa zina mambo mazito ambayo kama hujawahi shiriki utabaki kujiuliza why
We jamaa una bifu sana na tanga mara uiponde mara ivi kaa utulie tuachie kwetu bandari itatumika tu we endelea kuponda mara sio jiji mara ooh tulikuja kuomba kwenu mshamba kuwa mjanja usikimbilie majiji ya watu tanga raha we itakuwa wa moshi au arusha au msukuma tu mna chuki binafsiKwa nini wanayafata sehem nyingine licha ya bandari ya Tanga kuwepo?.
EWURA imeagiza wasambazaji wote wa bidhaa za petroli mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara kuanza kuchukua bidhaa hizo kutoka Bandari ya Tanga, na si sehemu nyingine.
Atakayekiuka agizo hilo atatozwa faini TZS Milioni 100 au kifungo kisichopungua miaka 10, au vyote.