dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,958
- 9,516
Watawala wamejilidhisha watz karibia wote ni miNDEZIMafuta kwenye soko la dunia hayajapanda bali yameshuka kidogo, Ila usiniulize kwa nn bongo yamepanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watawala wamejilidhisha watz karibia wote ni miNDEZIMafuta kwenye soko la dunia hayajapanda bali yameshuka kidogo, Ila usiniulize kwa nn bongo yamepanda
Wacha ufala akumbukwe. Mpoteza watu?Leo hii ndio mnamkumbuka Magufuli?
Si mlisema ni mshamba asiyejua sayansi mpaka mkamuua?
Eti dikteta! Haya kuleni DEMOKRASIA.
[emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
Ccm mbele kwa mbeleSIKU ZINAENDA KASI SANA. MWAKA MMOJA ULIOPITA UKIWA NA BUKU UNA UHAKIKA WA KUWEKA WESE LA KUFANYA MISELE YA HAPA NA PALE. KWA SASA ELFU 5 SI KITU TENA.
Ondoa huu ujinga nenda kazikwe naeSi mnasema Mama Samia anaupiga mwingi??
Anafungua nchi eeehhhh
Et Royo Tuwa ??? .
Maana yake hapo, ni kwamba Nauli zipande, Bidhaa zipande , Gharama za Maisha juu juuu saaaaana !!!
Subirini mpaka ifike elfu 10 Kwa Lita .
NAPOSEMA, NCHI HII INAHITAJI KIONGOZI AINA YA MAGUFULI, KIONGOZI ANAYEAMUA KUTOANGALIA KUNDI LA WACHACHE , KIONGOZI ANAYETOA MAISHA YAKE KWAAJILI YA WATANZANIA , KIONGOZI ANAYEAMUA KUPAMBAJA NA WAFANYA BIASHARA WAJANJA WAJANJA .
MUWE MNAELEWA !!.
Najua watasingizia Vita ya Ukraine , ila ukweli nikwamba, WALE WAFANYABIASHARA, WALIOMCHANGIA SAMIA KWENYE ROYO TUWA, NDO SASA WANARUDISHA PESA ZAO IVO !!.
SAMIA HOYEEEEEE !!.
Mafuta yamepanda tena Bei, Dar Lita ya petrol kuanzia kesho ni 3148, dizeli 3258
View attachment 2210381
Bei za mafuta kuanzia April 4, 2022
Bei ya petrol kwa Dar itakuwa ni Tsh 3,148 kwa lita. Kwa watu wa Tanga watanunua kwa Tsh 3,161 na kwa watu wa Mtwara kwa 3,177 kwa lita.
Dizeli itauzwa Tsh. 3,258 kwa lita kwa Dar, na kwa Tanga watanunua kwa Tsh. 3,264. Mtwara watauziwa kwa Tsh. 3,309 kwa lita.
Mafuta ya taa hayako nyuma ambapo bei ya lita kwa Dar itakuwa Tsh 3,112. Mikoa mingine itakuwa na bei kutokana na hesabu zitakvyofanyika.
EWURA wamesema mabadiliko ya bei katika soko la dunia yamesababisha 93% ya mabadiliko ya bei
Bei za Jumla
Port Petrol
(TZS/Litre)Diesel
(TZS/Litre)Kerosene
(TZS/Litre)DAR ES SALAAM 3,015.88 3,125.18 2,980.56 TANGA 3,028.72 3,131.39 -- MTWARA 3,044.88 3,176.87 --
View attachment 2210436
View attachment 2210437
View attachment 2210438
View attachment 2210439
View attachment 2210440
Acha upuuzi wewe. Rais anahusika pakubwa sana. Chini ya jiwe hali isingefika huku hata kidogoAngekuwa Sio Samia bei isingepanda??!! Mafuta kupande bei hayana uhusiano na raisi wa sasa wala alieondoka...
Hiyo Bei ya $130 ilikaa siku 3 tu , na baada ya hapo yakashuka. Unataka kusema ndani ya hizo siku 3 ndio walinunua hayo mafuta?Angalia hapo bei mwezi wa tatu yalifika karibu na $130 a barrel, kumbuka hiy ni crude price; refined itakuwa juu zaidi ndio tunayoagiza.
Sidhani kama kuna njama zozote kwenye mafuta za kumuumiza mtanzania; ila policy zao mbovu it must be said zinachangia pia bei kuwa juu.
Kwa hiyo huku bongo wanaofurahia vita ndio wamesababisha vita iendelee??Wengi mlishangilia uvamizi wa Putin Ukraine maana wabongo kila kitu wanafanya masihara sasa mnaanza kuonja athari za uvamizi. Na bei za mafuta zikipanda, bei za bidhaa na vyakula nazo zitapanda. Maana vyakula na bidhaa vinategemea mafuta kusafirishwa. Na bado msubiri bei za unga wa ngano na mikate zitapanda maana nazo zinaagizwa kutoka Ukraine na Urusi.
Mafuta yameshuka duniani,. Kabla yalikua $126, ikaenda $110 na sasa ndio hiyo $106. Kwa hiyo yameshuka. Njoo na sababu zingineMimi sitaki kutumia mihemuko katika hili, ni kweli mafuta yamepanda duniani jana ilikuwa karibia 106$ kwa pipa ni kweli lakini kuna mambo pia yanachangia katika hili. Moja huyo anayeshinda Bulk tender anakuwa kashinda kwa bei maalumu kwa maana aliyeshinda leo tender atasambaza miezi 3 iinayokuja sasa swali kwanini kusiwe na notice ya miezi mitatu kuwa aliyeshinda kwa sasa mafuta ya mwezi wa sita yatakuwa bei hii sababu nasema hivi mtu akija ku tender huku anakuwa kishiingia makubaliano ya supply ya miezi mitatu iweje tangazo lije usiku tu kesho yanapanda. Haya yaliyopanda ni lini yaliletwa? kuna rushwa kubwa katika mfumo wa uagizaji mafuta wa pamoja, Nilidhani kama kipindi kile wa kusema baada ya miezi mitatu bei itashuka kwa kiasi hiki sababu aliyeshinda tender kampuni ya TPDC wame tender bei ya chini sasa iweje jana usiku linakuja tangazo? Ni muhimu sasa kujuwa hizi tender wanashindaje? navyojuwa huwezi kushinda tender halafu ukaja kubadili bei njiani inakuwa tender yote batili. ulishinda kwa bei hii huwezi kubadili. Makamba lazima aje hadharani aelezee imekaaje hii.
Watakuwa wapo mkuu!Kwani bado wapo ?
Tutakoma kurudisha wahuni madarakaniMafuta yamepanda tena Bei, Dar Lita ya petrol kuanzia kesho ni 3148, dizeli 3258
View attachment 2210381
Bei za mafuta kuanzia April 4, 2022
Bei ya petrol kwa Dar itakuwa ni Tsh 3,148 kwa lita. Kwa watu wa Tanga watanunua kwa Tsh 3,161 na kwa watu wa Mtwara kwa 3,177 kwa lita.
Dizeli itauzwa Tsh. 3,258 kwa lita kwa Dar, na kwa Tanga watanunua kwa Tsh. 3,264. Mtwara watauziwa kwa Tsh. 3,309 kwa lita.
Mafuta ya taa hayako nyuma ambapo bei ya lita kwa Dar itakuwa Tsh 3,112. Mikoa mingine itakuwa na bei kutokana na hesabu zitakvyofanyika.
EWURA wamesema mabadiliko ya bei katika soko la dunia yamesababisha 93% ya mabadiliko ya bei
Bei za Jumla
Port Petrol
(TZS/Litre)Diesel
(TZS/Litre)Kerosene
(TZS/Litre)DAR ES SALAAM 3,015.88 3,125.18 2,980.56 TANGA 3,028.72 3,131.39 -- MTWARA 3,044.88 3,176.87 --
View attachment 2210436
View attachment 2210437
View attachment 2210438
View attachment 2210439
View attachment 2210440
Kila mada unaingizia hayo mambo, kwani huwezi kuzungumzia mengine?Watakuwa wapo mkuu!
Maana mama anaupiga mwingi na haya yote anayafanya ili kumkomoa marehemu na sukuma gang ili kuwafurahisha machadema na kina zitto huku akiwafuta machozi baada ya kuonewa sana kwa miaka 6.
.
Au unasemaje ndugu yangu si mnapumua nyie?
Na wataoandisha kwa sh elfu 15 alafu wapumbavu na matakataka yatakuja kushangilia hapa kwamba mama anaupiga mwingiTunapigwa kabla salary haijapandishwa
Daladala kupandisha bei mara ya mwisho 2010 kutoka 300-400Hamna watu wanajua kujiliza liza kama
Bodaboda
Bajaj
Daladala
Machinga
Graduates
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna theory hapo ni maswala ya production planning na muda unaonunua.Kwamba mafuta yalikuwa ya importation ya march bei zikiwa juu LAKINI ndani tukauziwa bei nafuu..ila sasa duniani bei zimeshuka LAKINI ndani bei zimepanda !!?? Na diesel imekuwa bei zaidi ya Petrol!!? Umetumia principle Gani au theory Gani ya uchumi kuelezea haya!!??
Sii kuwa yameshuka kidogo bali yako kama mwezi ulopita, mshangao ni hiyo bei imepandajeMafuta kwenye soko la dunia yameshuka kidogo, Ila huku Bei imepanda. nadhani unaelewa nn kinaendelea