EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

Ondoa huu ujinga nenda kazikwe nae
 

April si imepita?
 
Angekuwa Sio Samia bei isingepanda??!! Mafuta kupande bei hayana uhusiano na raisi wa sasa wala alieondoka...
Acha upuuzi wewe. Rais anahusika pakubwa sana. Chini ya jiwe hali isingefika huku hata kidogo
 
Hiyo Bei ya $130 ilikaa siku 3 tu , na baada ya hapo yakashuka. Unataka kusema ndani ya hizo siku 3 ndio walinunua hayo mafuta?
 
Kwa hiyo huku bongo wanaofurahia vita ndio wamesababisha vita iendelee??
 
Mafuta yameshuka duniani,. Kabla yalikua $126, ikaenda $110 na sasa ndio hiyo $106. Kwa hiyo yameshuka. Njoo na sababu zingine
 
Kwani bado wapo ?
Watakuwa wapo mkuu!

Maana mama anaupiga mwingi na haya yote anayafanya ili kumkomoa marehemu na sukuma gang ili kuwafurahisha machadema na kina zitto huku akiwafuta machozi baada ya kuonewa sana kwa miaka 6.
.
Au unasemaje ndugu yangu si mnapumua nyie?
 
Tutakoma kurudisha wahuni madarakani
 
Kila mada unaingizia hayo mambo, kwani huwezi kuzungumzia mengine?
 
Hakuna theory hapo ni maswala ya production planning na muda unaonunua.

Biashara ya mafuta sio kama ya madafu unatoka kufua moja kwa moja unauza kwa bei ya soko siku hiyo hiyo.

Ununuzi wa mafuta inabidi utoe order yako in advance na production zina lead time especially kwenye refinery products.

Inabidi yatolewe ardhini, yasafirishwe kama unanunua India, wasafishe, ndio upewe. Kwa ivyo unatoa order yako mapema.

Wazalishaji pia wanajukumu la kupanga capacity planning kutokana na limit on how much they can store in a day sio shughuli ndogo.

Ndio maana ata hao Saudi Arabia wana subcontract baadhi ya refinery za India kuwasafishia mafuta; uamki tu asubuhi na kununua mafuta. Inabidi utoe order well in advance na utalipa kutokana na siku unayonunua ata kama mafuta yako utayapata baada ya mwezi.

Kukwepa risk za namna hiyo watu wanaingia contract za ununuzi wa mwaka mzima na hedging on price ceiling and floors against unexpected shocks.

Lakini kwa mtu anaenunua kwa mwezi unakuwa vulnerable to developments in external factors zinazofanya bei ya mafuta kupanda na kushuka.
 
Mafuta kwenye soko la dunia yameshuka kidogo, Ila huku Bei imepanda. nadhani unaelewa nn kinaendelea
Sii kuwa yameshuka kidogo bali yako kama mwezi ulopita, mshangao ni hiyo bei imepandaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…