EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

Let me try connect the dots.

Lile deni la Tanesco la Billion 300+ wanatarajia kulikusanya kupitia mafuta na tozo? It seems like the only feasible way of collecting the debt that we, ordinary citizens were never involved? The blame now is Russian invasion in Ukraine?
 
Hiyo bei ya $126 ilikua mid March, kwa maeezo yako ya miezi mitatu nyuma basi Bei ilikua $90.
Trend ya crude inaenda juu bei ilifika mpaka 123 ya juu kabisa lakini average kwa mwaka tuko 96$ kikubwa bei kwenye trend inaenda juu hakuna kushuka mpaka Gas na haya yalishasemwa bei itafika 140$. Mafuta yanauzwa miezi mitatu mbele wanakuwa wameshauza ili kupanga meli lini kuja kubeba cargo sababu ni storage huwezi kuzalisha halafu ndio unatafuta mteja. bei inaenda juu tu fanya trend ya miezi 6 ni mwendo wa juu tu na bado.
 
Mimi nilichopendea hii CCM,CHADEMA,CUF,Chama cha msalaba mwekundu Tanzania,Chama cha walimu wote tunaisoma namba kudadadeki!!
Mkuu nahisi umekosea. Mbogamboga wao wakionyesha zile kofia zao, wananunua half the price!
Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Najua hiyo ni Bei ya crude, na wakishasafisha ndio inakuja sasa bei halisi
Lakini hij bei halisi ipo determined na bei ya crude. Ndio maaana crude ikupungua na mafuta yanapungua Bei. Ikipanda na mafuta Safi yanapanda pia.
Pretty much refined oil inapanda sambamba na crude oil.
 
Hapa nawaona Team Range Rovers,Toyota Vx V8 na wafananao wamefungua vioo wakati team IST vioo bado vimefungwa...
 
Hiyo bei ya $126 ilikua mid March, kwa maeezo yako ya miezi mitatu nyuma basi Bei ilikua $90.
Nitajie nchi moja duniani mafuta yameshuka? moja tu. UAE tunakonunua yamepanda ila tuna shida kidogo katika mfumo wetu wa manunuzi bei ya dunia hatupangi sisi ila tunaweza kuangalia mfumo bora ya huu.
 
Ile akiba waliyotuambia itatutosha miezi 6 mbele nayo imeingizwa kwenye magazijuto mapya?
Kijiweni mlevi kahoji mafuta ya alizeti nayo yamepanda being kutokana na vita ya Urusi,amehoji mbona huwa yanalimwa Ismani na Singida
 
Kama waliweza hapo awali na wewe uliweza kila mmoja ataendelea kuweza kumudu.
Mwisho utasema kuwa watu watatembea kwa miguu kisa nauli za daladala zimepanda.
Duuh tutaheshimiana wale wenye harrier matako ya nyani na sisi wenye ist 1290cc.
 
Soma tena ulichoandika na nilichokujibu.
Nimekuambia miezi mitatu nyuma bei ilikua $90, ikapanda hadi $126 Kati Kati ya Machi. Mwishoni mwa mwezi Machi Bei ikaanza kushuka, na ndio sasa ipo $106
Sasa haya uliyoeleza sijui unaeleza nn
 
Leo hii ndio mnamkumbuka Magufuli?

Si mlisema ni mshamba asiyejua sayansi mpaka mkamuua?

Eti dikteta! Haya kuleni DEMOKRASIA.

[emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
Una kitabu cha kumbukumbu kuhusu mimi au unamiliki ubongo/akili yangu.
 
Pretty much refined oil inapanda sambamba na crude oil.
Unazungumzia nn ambacho mm nimekikataa? Crude oil ni lazima iwe refined, hii mbona ipo wazi.
Ila bei ya dunia inapigwa kwa crude oil, crude oil ikipanda mafuta Safi nayo yatapanda, ilishuka nayo yatashuka. Au unazungumzia nn?
Au unataka kusema crude oil leo ikishuka hadi $80 kwa pipa mafuta yanaweza yasishuke kwa sababu yanatakiwa kuwa refined?
 
yamepanda tena jamani si wiki2 nyuma yalishapandishwa.
 
Pakini vyombo vyenu vya moto tu
Siku 3 wenyewe watanyooka
Wao sahv wanajua wabongo wataishia kulalamika,mtanunua tu
Maisha yataendelea

Ova
Mwanangu kama vile nimekuelewa hivi
 
Hapana mkuu,

Hapa nchini matatizo yote yaliletwa na Magufuli na wasukuma, hivyo amekufa mambo yako safi.
Na tunapumua baada ya kuonewa sana kwa miaka 5
Matatizo yanaletwa na CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…