Bushesha jr
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 675
- 690
Mimi naona Ukraine apigwe tu mbona Marekani ilipoipiga Libya au Afghanistan au Iraq hapakuwa na shidaKwani tusinge shangilia Putin hasinge ivamia Ukraine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naona Ukraine apigwe tu mbona Marekani ilipoipiga Libya au Afghanistan au Iraq hapakuwa na shidaKwani tusinge shangilia Putin hasinge ivamia Ukraine.
Trend ya crude inaenda juu bei ilifika mpaka 123 ya juu kabisa lakini average kwa mwaka tuko 96$ kikubwa bei kwenye trend inaenda juu hakuna kushuka mpaka Gas na haya yalishasemwa bei itafika 140$. Mafuta yanauzwa miezi mitatu mbele wanakuwa wameshauza ili kupanga meli lini kuja kubeba cargo sababu ni storage huwezi kuzalisha halafu ndio unatafuta mteja. bei inaenda juu tu fanya trend ya miezi 6 ni mwendo wa juu tu na bado.Hiyo bei ya $126 ilikua mid March, kwa maeezo yako ya miezi mitatu nyuma basi Bei ilikua $90.
Mkuu nahisi umekosea. Mbogamboga wao wakionyesha zile kofia zao, wananunua half the price!Mimi nilichopendea hii CCM,CHADEMA,CUF,Chama cha msalaba mwekundu Tanzania,Chama cha walimu wote tunaisoma namba kudadadeki!!
Pretty much refined oil inapanda sambamba na crude oil.Najua hiyo ni Bei ya crude, na wakishasafisha ndio inakuja sasa bei halisi
Lakini hij bei halisi ipo determined na bei ya crude. Ndio maaana crude ikupungua na mafuta yanapungua Bei. Ikipanda na mafuta Safi yanapanda pia.
Nitajie nchi moja duniani mafuta yameshuka? moja tu. UAE tunakonunua yamepanda ila tuna shida kidogo katika mfumo wetu wa manunuzi bei ya dunia hatupangi sisi ila tunaweza kuangalia mfumo bora ya huu.Hiyo bei ya $126 ilikua mid March, kwa maeezo yako ya miezi mitatu nyuma basi Bei ilikua $90.
Duuh tutaheshimiana wale wenye harrier matako ya nyani na sisi wenye ist 1290cc.
Soma tena ulichoandika na nilichokujibu.Trend ya crude inaenda juu bei ilifika mpaka 123 ya juu kabisa lakini average kwa mwaka tuko 96$ kikubwa bei kwenye trend inaenda juu hakuna kushuka mpaka Gas na haya yalishasemwa bei itafika 140$. Mafuta yanauzwa miezi mitatu mbele wanakuwa wameshauza ili kupanga meli lini kuja kubeba cargo sababu ni storage huwezi kuzalisha halafu ndio unatafuta mteja. bei inaenda juu tu fanya trend ya miezi 6 ni mwendo wa juu tu na bado.
Una kitabu cha kumbukumbu kuhusu mimi au unamiliki ubongo/akili yangu.Leo hii ndio mnamkumbuka Magufuli?
Si mlisema ni mshamba asiyejua sayansi mpaka mkamuua?
Eti dikteta! Haya kuleni DEMOKRASIA.
[emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
Unazungumzia nn ambacho mm nimekikataa? Crude oil ni lazima iwe refined, hii mbona ipo wazi.Pretty much refined oil inapanda sambamba na crude oil.
yamepanda tena jamani si wiki2 nyuma yalishapandishwa.Mafuta yamepanda tena Bei, Dar Lita ya petrol kuanzia kesho ni 3148, dizeli 3258
View attachment 2210381
Bei za mafuta kuanzia April 4, 2022
Bei ya petrol kwa Dar itakuwa ni Tsh 3,148 kwa lita. Kwa watu wa Tanga watanunua kwa Tsh 3,161 na kwa watu wa Mtwara kwa 3,177 kwa lita.
Dizeli itauzwa Tsh. 3,258 kwa lita kwa Dar, na kwa Tanga watanunua kwa Tsh. 3,264. Mtwara watauziwa kwa Tsh. 3,309 kwa lita.
Mafuta ya taa hayako nyuma ambapo bei ya lita kwa Dar itakuwa Tsh 3,112. Mikoa mingine itakuwa na bei kutokana na hesabu zitakvyofanyika.
EWURA wamesema mabadiliko ya bei katika soko la dunia yamesababisha 93% ya mabadiliko ya bei
Bei za Jumla
Port Petrol
(TZS/Litre)Diesel
(TZS/Litre)Kerosene
(TZS/Litre)DAR ES SALAAM 3,015.88 3,125.18 2,980.56 TANGA 3,028.72 3,131.39 -- MTWARA 3,044.88 3,176.87 --
View attachment 2210436
View attachment 2210437
View attachment 2210438
View attachment 2210439
View attachment 2210440
Mwanangu kama vile nimekuelewa hiviPakini vyombo vyenu vya moto tu
Siku 3 wenyewe watanyooka
Wao sahv wanajua wabongo wataishia kulalamika,mtanunua tu
Maisha yataendelea
Ova
Matatizo yanaletwa na CCMHapana mkuu,
Hapa nchini matatizo yote yaliletwa na Magufuli na wasukuma, hivyo amekufa mambo yako safi.
Na tunapumua baada ya kuonewa sana kwa miaka 5
hahaha, anaiponya nchi! comforter-in-chief wanamuitaongezeko la buku nzima ndani ya kipindi cha mwaka mmoja tu!
Kweli mama atatuvusha anaupiga mwingi.
Salt wewe una biashara isiyochuja, .....Tutanunua tu....