EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

Mnafikiri wadhamini wa RT walitoa pesa zao bure...tulieni muangalie movie
 
Linganisha sasa na pesa ya madafu ndio utajua imepanda au imeshuka
Halafu Kuna watu humu wanawaza Uchaguzi 2025, ilianza corona,corona ikiendelea imeanza vita, wakati vita inaendelea, majanga mengine yaja. Someni ALAMA za nyakati!!!!
 
You are right. Lakini niseme, tunahitaji mifumo bora ya kuwawajibisha viongozi. Kwa sasa kila kiongozi anafanya yake akijua hakuna consequences. Ok. Unahitaji mwendawazimu kuliko JPM. Swali ni vipi maamuzi yake yanalenga kumkomboa mwananchi wa kawaida? JPM was basically above the law na wote tukakubali (hatukuwa na namna) kwa kivuli kwamba anajenga uchumi. Lakini alitumia nguvu kubwa kujiimarisha kimamlaka kwa kuwaumiza wapinzani wake. Mimi sioni kuzuia bunge live, kuwafunga mdomo wapinzani, kuzuia uhuru wa kawaida na habari ulivyolinufaisha taifa. In fact ufisadi kipindi cha JPM ulishamiri. Ingawa haukuandikwa popote kwa sababu hakuna gazeti lililokuwa na courage ya kufanya hivo.
Mwisho wa siku viongozi wetu inabidi watambue kwamba wakifanya madudu wataadhibiwa kwa sanduku la kura au kwa sheria hata wakitoka madarakani. Kwa sasa baadhi ya wananchi na elites wanaofaidi nchi wanaona katiba ni agenda ya wapinzani. Lakini tunashindwa kuelewa katiba mbovu inatuathiri sote. Leo mtu anaweza kuja na maamuzi ya ajabu kweli kweli...na hakuna atakapowajibishwa. Siasa za kiimla na kukosa uwajibikaji haziwezi kutupa nafuu ya maisha kamwe.

Angalia akina Kinana, Membe nk..walionja joto ya jiwe kipindi cha JPM. Ungetegemea baada ya kupata second chance ndo wapambanie mifumo bora....lakini wapi....they are eating! Tanzania ufisadi haukuwahi kuisha wala kupungua. Tofauti ni kwamba JPM alifanikiwa kuuficha usiandikwe na Samia karuhusu ulipotiwe.
Katiba ni ajenda ya wapinzani ...ajenda ya wapinzani...
 
Serikali inapaswa kuwa na mikakati ya kuhakikisha inakua na mbinu za kuwasaidia wananchi kuwapunguzia ugumu wa maisha.

Sawa kuna changamoto ya upandaji wa Bei kutokana na vita, kwenye matatizo ndio tunapaswa kuona viongozi wakifikiri zaidi na kuja na suluhisho litakalokuwa la tofauti sio kufanya vitu kwa mazoea na kujibu kirahisi kwamba kuna vita basi.

Kipindi Cha COVID ilipochachamaa viongozi walikuja na suluhisho lilikua tofauti na mwelekeo wa dunia la kutowafungia watu ndani waliwaza nnje ya box na walifanikiwa watu waliendelea kujitafutia riziki zao nadhani ungekua uongozi huu tungefungiwa ndani nakuambiwa hamuoni nchi nyingine wamefungiwa ndani basi ndio lingekua jibu rahisi sana.

Uongozi ni kazi ngumu na inapaswa tuwe na watu wanaofikiri haswa lakini tofauti inakua sasa viongozi wanalalamika na hatuoni namna tofauti ya kufikiri zaidi ya kwenda na mdundo wa ngoma tu.

Tunahitaji IQ kubwa kwa viongozi wetu hasa wanaoshauri namna ya kuendenda kama nchi nzima hatuna watu wenye uwezo mkubwa wa kufikri basi tukawakodi walau.

"Nchi yetu inakila kitu ila inakosa watu sahihi"
 
Walisema wana shehena ya Mafuta kwenye maghala yao Hadi mwezi wa saba, yamepandaje Bei wakati siyo mzigo mpya?
Hahahaha yameisha soon VIROBOTO watakuja kusema SUKUMA GANG wamesababisha hii hali hahaha
 
Ukinunulia madem hiyo savannaj moja kwa 5000 inaathiri vipi watu wengine, au inaathiri vipi vitu vingine, ukipandisha bei ya mafuta unaleta mfumuko wa bei za bidhaa muhim. Nenda shule kaka nyny ndio wale mnaopelekwa kama makondoo!!
Hilo ni likondoo halijui nini maana multiplying effect ya jambo ukiwa KIROBOTO akili zinaondoka
 
Sikubaliani na baadhi ya sera za Samia lakini Magu was worst
Kwanza alisababisha inflation bila hata vita.
Mengine ya ukatili wake sihitaji kuyataja
We kiroboto J.P.M alisababisha inflation ipi chuki imekupofua akili
 
Mafuta yameshuka duniani,. Kabla yalikua $126, ikaenda $110 na sasa ndio hiyo $106. Kwa hiyo yameshuka. Njoo na sababu zingine
Hii habari naweza kuipata wapi mkuu...share hata link.
 
Back
Top Bottom