Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu Kuna watu humu wanawaza Uchaguzi 2025, ilianza corona,corona ikiendelea imeanza vita, wakati vita inaendelea, majanga mengine yaja. Someni ALAMA za nyakati!!!!Linganisha sasa na pesa ya madafu ndio utajua imepanda au imeshuka
Unaonaje sukuma gang wanavyokomolewa huku mabavicha mkipumua baada ya kuonewa sana kwa miaka 5?Wakuu kazi iendelee
hahahahah... nchi ngumu sana hii!Unaonaje sukuma gang wanavyokomolewa huku mabavicha mkipumua baada ya kuonewa sana kwa miaka 5?
Mkuu mbona US ana reserve kubwa sana ila oil price imepanda?Sio la kidunia ni kukosa vision tu niliona siku moja bungeni kuwa selikari haina reserve hata Lita moja je utawezaje ku subsidize market?
Mtoni Kwa Kindande to Kariakoo mchango 5,000/= kuondoka saa 11 alfajirKuwe na hiace la mtaani
Acha unaaUnaonaje sukuma gang wanavyokomolewa huku mabavicha mkipumua baada ya kuonewa sana kwa miaka 5?
Katiba ni ajenda ya wapinzani ...ajenda ya wapinzani...You are right. Lakini niseme, tunahitaji mifumo bora ya kuwawajibisha viongozi. Kwa sasa kila kiongozi anafanya yake akijua hakuna consequences. Ok. Unahitaji mwendawazimu kuliko JPM. Swali ni vipi maamuzi yake yanalenga kumkomboa mwananchi wa kawaida? JPM was basically above the law na wote tukakubali (hatukuwa na namna) kwa kivuli kwamba anajenga uchumi. Lakini alitumia nguvu kubwa kujiimarisha kimamlaka kwa kuwaumiza wapinzani wake. Mimi sioni kuzuia bunge live, kuwafunga mdomo wapinzani, kuzuia uhuru wa kawaida na habari ulivyolinufaisha taifa. In fact ufisadi kipindi cha JPM ulishamiri. Ingawa haukuandikwa popote kwa sababu hakuna gazeti lililokuwa na courage ya kufanya hivo.
Mwisho wa siku viongozi wetu inabidi watambue kwamba wakifanya madudu wataadhibiwa kwa sanduku la kura au kwa sheria hata wakitoka madarakani. Kwa sasa baadhi ya wananchi na elites wanaofaidi nchi wanaona katiba ni agenda ya wapinzani. Lakini tunashindwa kuelewa katiba mbovu inatuathiri sote. Leo mtu anaweza kuja na maamuzi ya ajabu kweli kweli...na hakuna atakapowajibishwa. Siasa za kiimla na kukosa uwajibikaji haziwezi kutupa nafuu ya maisha kamwe.
Angalia akina Kinana, Membe nk..walionja joto ya jiwe kipindi cha JPM. Ungetegemea baada ya kupata second chance ndo wapambanie mifumo bora....lakini wapi....they are eating! Tanzania ufisadi haukuwahi kuisha wala kupungua. Tofauti ni kwamba JPM alifanikiwa kuuficha usiandikwe na Samia karuhusu ulipotiwe.
Kwa hiyo changamoto za watawala na uongozi sisi CCM hazituhusu?Katiba ni ajenda ya wapinzani ...ajenda ya wapinzani...
Okay basi tutanunuliwa tu, sahivi appointment sheli 😂😂😂Si kwakuwa hamtoi hela yenu bali mpaka mhongwe mamaaaaee
Kigoma 3,600Aisee nimeona hii sijaamini, Moshi petroli lita Tsh 3200 kutoka 2800
Hahahaha yameisha soon VIROBOTO watakuja kusema SUKUMA GANG wamesababisha hii hali hahahaWalisema wana shehena ya Mafuta kwenye maghala yao Hadi mwezi wa saba, yamepandaje Bei wakati siyo mzigo mpya?
Uchawi kuipiga maji tu, inakuwa nyepeeee, kama haijauzika [emoji12]Biashara kubwaaa isiohitaji mtaji
Hilo ni likondoo halijui nini maana multiplying effect ya jambo ukiwa KIROBOTO akili zinaondokaUkinunulia madem hiyo savannaj moja kwa 5000 inaathiri vipi watu wengine, au inaathiri vipi vitu vingine, ukipandisha bei ya mafuta unaleta mfumuko wa bei za bidhaa muhim. Nenda shule kaka nyny ndio wale mnaopelekwa kama makondoo!!
We kiroboto J.P.M alisababisha inflation ipi chuki imekupofua akiliSikubaliani na baadhi ya sera za Samia lakini Magu was worst
Kwanza alisababisha inflation bila hata vita.
Mengine ya ukatili wake sihitaji kuyataja
Hii habari naweza kuipata wapi mkuu...share hata link.Mafuta yameshuka duniani,. Kabla yalikua $126, ikaenda $110 na sasa ndio hiyo $106. Kwa hiyo yameshuka. Njoo na sababu zingine