EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

Leo nimeenda kujaza mafuta ya dizeli kwenye gari langu nikitumaini kuwa bei niliyoizoea ni Tshs.2842 kwa lita hapa Mwanza. nilipotoa fedha ya lita 20 yaani Tshs.56,840 nikaitwa ili niongeze hela. Nikawa mbogo nikaambiwa unatakiwa kulipia Tshs.68,040. Tofauti ya Tshs.11,200. Bado ninajiuliza kuwa juzi ndo Latra iliwaongezea wamiliki wa vyombo vya usafiri gharama zao za nauli, itakuwaje tena jana bei tena zimeongezeka. Je itabidi waongezewe bei tena?. Vile vile bei ya dizeli ndo imeongezeka kuliko hata petroli ni kwa sababu gani?. Itakuwa vema kama Serikali ingekuwa inatoa elimu kwa wananchi kupitia luninga kwa vigezo ni kwa nini bei ya mafuta imepanda kwa kipindi husika. Tukiendelea hivi Serikali iliyo madarakani itaendelea kuchuchukiwa sana na wananchi.
Wizara Ya Fedha na Wizara Ya Nishati zinabidi zijitafakari sana! Nategemea Rais aliongelee hili na Alitolee ufafanuzi wa Kueleweka, Hii ni Hujuma kabisa Kwa Wananchi wenye Kipato Cha Chini. Tuliambiwa Nchi Ina stock ya Kutosha ya Mafuta imekuaje Bei kupanda Kiholela namna Hii?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
FB_IMG_1651681656109.jpg
 
EWURA wametoa ila kwa sababu ambazo hazijulikani, taarifa imeandikwa kwa Kiingereza!!
Leo nimeenda kujaza mafuta ya dizeli kwenye gari langu nikitumaini kuwa bei niliyoizoea ni Tshs.2842 kwa lita hapa Mwanza. nilipotoa fedha ya lita 20 yaani Tshs.56,840 nikaitwa ili niongeze hela. Nikawa mbogo nikaambiwa unatakiwa kulipia Tshs.68,040. Tofauti ya Tshs.11,200. Bado ninajiuliza kuwa juzi ndo Latra iliwaongezea wamiliki wa vyombo vya usafiri gharama zao za nauli, itakuwaje tena jana bei tena zimeongezeka. Je itabidi waongezewe bei tena?. Vile vile bei ya dizeli ndo imeongezeka kuliko hata petroli ni kwa sababu gani?. Itakuwa vema kama Serikali ingekuwa inatoa elimu kwa wananchi kupitia luninga kwa vigezo ni kwa nini bei ya mafuta imepanda kwa kipindi husika. Tukiendelea hivi Serikali iliyo madarakani itaendelea kuchuchukiwa sana na wananchi.
 
Na bado...wambie wanaovaa nguo za ccm mda wa kukikataa chama umefka ..mtu alinunua mafuta depo mwezi uliopita kwa bei ndogo leo hao kanjanja ewura wanapandsha bei na yeye ana binya batan anaandika 3400/= wakat hajaagiza mzgo mpya nchi haiwez kuongozwa na mwanamke
 
Ndio CCM hao mpaka tufunguke akili zetu, huko Zanzibar lita 2600 tu petroleum.
Leo nimeenda kujaza mafuta ya dizeli kwenye gari langu nikitumaini kuwa bei niliyoizoea ni Tshs.2842 kwa lita hapa Mwanza. nilipotoa fedha ya lita 20 yaani Tshs.56,840 nikaitwa ili niongeze hela. Nikawa mbogo nikaambiwa unatakiwa kulipia Tshs.68,040. Tofauti ya Tshs.11,200. Bado ninajiuliza kuwa juzi ndo Latra iliwaongezea wamiliki wa vyombo vya usafiri gharama zao za nauli, itakuwaje tena jana bei tena zimeongezeka. Je itabidi waongezewe bei tena?. Vile vile bei ya dizeli ndo imeongezeka kuliko hata petroli ni kwa sababu gani?. Itakuwa vema kama Serikali ingekuwa inatoa elimu kwa wananchi kupitia luninga kwa vigezo ni kwa nini bei ya mafuta imepanda kwa kipindi husika. Tukiendelea hivi Serikali iliyo madarakani itaendelea kuchuchukiwa sana na wananchi.
 
Kina liwani wanauza mafuta na lake oil ni za hiyo familia, unategemea wasiongeze bei kiholela. Mm nawekaga full tank so nakaa nayo mwenzi mzima
 
Mafuta yamepanda tena Bei, Dar Lita ya petrol kuanzia kesho ni 3148, dizeli 3258

Bei za mafuta kuanzia April 4, 2022...
hivi hii imekaaje,yani mafuta yanapanda duniani leo kesho yanapanda tanzania utadhani tunaishi kwenye visima vya mafuta ama tumeungiwa mabomba toka hukoo soko la dunia, tuna shirika la petlol halina akiba wafanyabiashara nao kama hawana akiba, cha ajabu zaidi wapanga bei wapo upande mmoja tu waupandishaji tu!

Serikali nayo inabariki yote, hata kufuta makodi yaliyomo japo kwakipindi hichi cha mpito ili kupunguza makali ya maisha ya watanzania nayo imeshindikana hatma ya watanzania iko mikononi mwa muumba mungu ibariki tanzania.
 
Wizara Ya Fedha na Wizara Ya Nishati zinabidi zijitafakari sana! Nategemea Rais aliongelee hili na Alitolee ufafanuzi wa Kueleweka, Hii ni Hujuma kabisa Kwa Wananchi wenye Kipato Cha Chini. Tuliambiwa Nchi Ina stock ya Kutosha ya Mafuta imekuaje Bei kupanda Kiholela namna Hii?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wizara ya Fedha yupo jambazi... mwenye roho mbaya. Mpaka 2025 bei ya mafuta itakuwa elfu 5 ili tu wakwapue wajiimarishie kambi zao za kampeni!
 
Leo nimeenda kujaza mafuta ya dizeli kwenye gari langu nikitumaini kuwa bei niliyoizoea ni Tshs.2842 kwa lita hapa Mwanza. nilipotoa fedha ya lita 20 yaani Tshs.56,840 nikaitwa ili niongeze hela. Nikawa mbogo nikaambiwa unatakiwa kulipia Tshs.68,040. Tofauti ya Tshs.11,200. Bado ninajiuliza kuwa juzi ndo Latra iliwaongezea wamiliki wa vyombo vya usafiri gharama zao za nauli, itakuwaje tena jana bei tena zimeongezeka. Je itabidi waongezewe bei tena?. Vile vile bei ya dizeli ndo imeongezeka kuliko hata petroli ni kwa sababu gani?. Itakuwa vema kama Serikali ingekuwa inatoa elimu kwa wananchi kupitia luninga kwa vigezo ni kwa nini bei ya mafuta imepanda kwa kipindi husika. Tukiendelea hivi Serikali iliyo madarakani itaendelea kuchuchukiwa sana na wananchi.
Ichukiwe mara ngapi kama bei ya vitu imeanza kupanda kabla ya vita ya ukraine.
 
Wizara Ya Fedha na Wizara Ya Nishati zinabidi zijitafakari sana! Nategemea Rais aliongelee hili na Alitolee ufafanuzi wa Kueleweka, Hii ni Hujuma kabisa Kwa Wananchi wenye Kipato Cha Chini. Tuliambiwa Nchi Ina stock ya Kutosha ya Mafuta imekuaje Bei kupanda Kiholela namna Hii?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kuna kitu gani cha maana kimefanywa ni hizo Wizara mbili tangu hao vijana wapewe nafasi?
 
Leo nimeenda kujaza mafuta ya dizeli kwenye gari langu nikitumaini kuwa bei niliyoizoea ni Tshs.2842 kwa lita hapa Mwanza. nilipotoa fedha ya lita 20 yaani Tshs.56,840 nikaitwa ili niongeze hela. Nikawa mbogo nikaambiwa unatakiwa kulipia Tshs.68,040. Tofauti ya Tshs.11,200. Bado ninajiuliza kuwa juzi ndo Latra iliwaongezea wamiliki wa vyombo vya usafiri gharama zao za nauli, itakuwaje tena jana bei tena zimeongezeka. Je itabidi waongezewe bei tena?. Vile vile bei ya dizeli ndo imeongezeka kuliko hata petroli ni kwa sababu gani?. Itakuwa vema kama Serikali ingekuwa inatoa elimu kwa wananchi kupitia luninga kwa vigezo ni kwa nini bei ya mafuta imepanda kwa kipindi husika. Tukiendelea hivi Serikali iliyo madarakani itaendelea kuchuchukiwa sana na wananchi.
Mkuu hata mimi nimenunua Diesel kwa 3,320 jioni hii.
Siku zote huwa nanunua 2,842
 
Back
Top Bottom