EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

Wizara Ya Fedha na Wizara Ya Nishati zinabidi zijitafakari sana! Nategemea Rais aliongelee hili na Alitolee ufafanuzi wa Kueleweka, Hii ni Hujuma kabisa Kwa Wananchi wenye Kipato Cha Chini. Tuliambiwa Nchi Ina stock ya Kutosha ya Mafuta imekuaje Bei kupanda Kiholela namna Hii?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
EWURA wametoa ila kwa sababu ambazo hazijulikani, taarifa imeandikwa kwa Kiingereza!!
 
Na bado...wambie wanaovaa nguo za ccm mda wa kukikataa chama umefka ..mtu alinunua mafuta depo mwezi uliopita kwa bei ndogo leo hao kanjanja ewura wanapandsha bei na yeye ana binya batan anaandika 3400/= wakat hajaagiza mzgo mpya nchi haiwez kuongozwa na mwanamke
 
Ndio CCM hao mpaka tufunguke akili zetu, huko Zanzibar lita 2600 tu petroleum.
 
Kina liwani wanauza mafuta na lake oil ni za hiyo familia, unategemea wasiongeze bei kiholela. Mm nawekaga full tank so nakaa nayo mwenzi mzima
 
Mafuta yamepanda tena Bei, Dar Lita ya petrol kuanzia kesho ni 3148, dizeli 3258

Bei za mafuta kuanzia April 4, 2022...
hivi hii imekaaje,yani mafuta yanapanda duniani leo kesho yanapanda tanzania utadhani tunaishi kwenye visima vya mafuta ama tumeungiwa mabomba toka hukoo soko la dunia, tuna shirika la petlol halina akiba wafanyabiashara nao kama hawana akiba, cha ajabu zaidi wapanga bei wapo upande mmoja tu waupandishaji tu!

Serikali nayo inabariki yote, hata kufuta makodi yaliyomo japo kwakipindi hichi cha mpito ili kupunguza makali ya maisha ya watanzania nayo imeshindikana hatma ya watanzania iko mikononi mwa muumba mungu ibariki tanzania.
 
Wizara ya Fedha yupo jambazi... mwenye roho mbaya. Mpaka 2025 bei ya mafuta itakuwa elfu 5 ili tu wakwapue wajiimarishie kambi zao za kampeni!
 
Ichukiwe mara ngapi kama bei ya vitu imeanza kupanda kabla ya vita ya ukraine.
 
Kuna kitu gani cha maana kimefanywa ni hizo Wizara mbili tangu hao vijana wapewe nafasi?
 
Mkuu hata mimi nimenunua Diesel kwa 3,320 jioni hii.
Siku zote huwa nanunua 2,842
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…