EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

Watu sasa washazoea...sio kama mwezi uliopita watu walijazana kwenye sheli usiku usiku kuwahi mafuta kabla bei haijapanda
Bei imetangazwa muda huu. Ingetangazwa mapema watu wangeendaa kununua
 
Kwa kwa akili yako umelala ukaoteshwa kesho mafuta 3200.
Nimekuambia tumia akili nikijua akili unazo.
Haya hiyo hapo taarifa ya ewura
20220503_215916.jpg
 
Back
Top Bottom