EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

Watu sasa washazoea...sio kama mwezi uliopita watu walijazana kwenye sheli usiku usiku kuwahi mafuta kabla bei haijapanda
Bei imetangazwa muda huu. Ingetangazwa mapema watu wangeendaa kununua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…