Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Hapana mkuu,CCM inapaswa kutoweka katika uso wa dunia
Hapa nchini matatizo yote yaliletwa na Magufuli na wasukuma, hivyo amekufa mambo yako safi.
Na tunapumua baada ya kuonewa sana kwa miaka 5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu,CCM inapaswa kutoweka katika uso wa dunia
Sasa si ajiuzulu kama anapelekeshwaTukimlaumu Rais samia tunamuonea tu nina uhakika huyu mama mambo mengi ya Tanzania hayajui
Rais samia anamsikiliza mstaafu katika kuongoza nchi na teuzi nyingi anapangiwa na mzee na mama analipa fadhila kwani ndiye aliyempa umakamu wa Rais uliopelekea akaupata uRais
Ndugai yale maneno hakuropoka anajua nchi imeharibika
Hili kundi linaiba pesa litakalowafanya uchumi ubaki kwa watu 15 tu na ndio watakuwa na maamuzi ya siasa za Tanzania
Wameshamiliki chama
Wameshamiliki uchumi
Wameshamiliki media kubwa
Watamiliki nishati
Wanamiliki biashara
Magufuli umekufa na ndoto zako baba za kuifanya tanzania kuwa nchi ya usawa
Maelezo mengi umeruka swali la MSINGI ... Bei ya mwezi uliopita ilikuwa chini na bei ya soko duniani ilikuwa juu ...mind you (walisema stock IPO mpaka mwezi July) ..leo bei ya soko ipo chini bei imepanda ..msitufanye wajinga kiasi hicho kaka HIZO PRICE CEILING NA PRICE FLOOR ZIPO KWENYE MAZAO(product) YOTE ... HEDGING VILEVILE so usilete viterminology kufichia upigaji wenu....Hakuna theory hapo ni maswala ya production planning na muda unaonunua.
Biashara ya mafuta sio kama ya madafu unatoka kufua moja kwa moja unauza kwa bei ya soko siku hiyo hiyo.
Ununuzi wa mafuta inabidi utoe order yako in advance na production zina lead time especially kwenye refinery products.
Inabidi yatolewe ardhini, yasafirishwe kama unanunua India, wasafishe, ndio upewe. Kwa ivyo unatoa order yako mapema.
Wazalishaji pia wanajukumu la kupanga capacity planning kutokana na limit on how much they can store in a day sio shughuli ndogo.
Ndio maana ata hao Saudi Arabia wana subcontract baadhi ya refinery za India kuwasafishia mafuta; uamki tu asubuhi na kununua mafuta. Inabidi utoe order well in advance na utalipa kutokana na siku unayonunua ata kama mafuta yako utayapata baada ya mwezi.
Kukwepa risk za namna hiyo watu wanaingia contract za ununuzi wa mwaka mzima na hedging on price ceiling and floors against unexpected shocks.
Lakini kwa mtu anaenunua kwa mwezi unakuwa vulnerable to developments in external factors zinazofanya bei ya mafuta kupanda na kushuka.
Tutazoea tuTutakoma. Mafuta yakipanda kifuatacho kila kitu kitapanda. Hatari yaja
Sababu Diesel ndo hutumika sana kuliko PetrolInakuwaje bei ya diesel inakuwa kubwa kuliko petrol sijawhi kuona hii,anaelewa anifahamishe kulikoni??
Ndio imeanza Leo kutumika kuliko petrol kaka .... Mbona miaka yote ilikuwa chini ya Petroli!!??Sababu Diesel ndo hutumika sana kuliko Petrol
Na mtaita mbwai sana tu!Bora kukoma Mara mia kulikosikia jina Ili, mbwai mbwai potelea mbali
Not necessary isipokuwa refinery zinakuwa na anticipation how much the prices are likely to rise and fall during the month utapewa average anticipate price or highest anticipated price.Hiyo Bei ya $130 ilikaa siku 3 tu , na baada ya hapo yakashuka. Unataka kusema ndani ya hizo siku 3 ndio walinunua hayo mafuta?
126$ ilifika muda mdogo sana kama wiki tu mafuta kabla ya mwaka yalikuwa 60 kufika 106 ndio yamekaa muda mrefu lazima ujuwe hiyo ni bei ya crude sio refining products kikubwa fahamu mafuta hawanunui kila siku watu wananunua miezi mitatu mbele kama minada. Kama ilikuwa 126$ sasa bei zilikuwa bei gani kwetu? zilikuwa juu au? maana kama ilikuwa 126 kwa maneno yako basi wasifie serikali kuwa waliuza bei ya chini wakati huo. 126 ilifika short sana 100-106 imekaa kwa muda na hii ni brent sio wote wanazalisha standard ya brent yako ya bei ya chini tu. Kuna mafuta mpaka 80$ sasa hujiulizi kwanini yote bei moja kwenye refining. System yetu ya kutumia plat kwenye bulk ndio shida hata kama mtu kanunua huko chini ya plat kwa dola 10 huku wana calculate plat price ndio maana nasema hii system itazamwe upya ina kasoro nyingi haina ushindani.Mafuta yameshuka duniani,. Kabla yalikua $126, ikaenda $110 na sasa ndio hiyo $106. Kwa hiyo yameshuka. Njoo na sababu zingine
Wanaposema stock ipo mpaka mwezi July ni kutokana purchase agreement zilizopo. Lakini uwezo wetu wa kuhifadhi mafuta sidhani kama unazidi mwezi.Maelezo mengi umeruka swali la MSINGI ... Bei ya mwezi uliopita ilikuwa chini na bei ya soko duniani ilikuwa juu ...mind you (walisema stock IPO mpaka mwezi July) ..leo bei ya soko ipo chini bei imepanda ..msitufanye wajinga kiasi hicho kaka HIZO PRICE CEILING NA PRICE FLOOR ZIPO KWENYE MAZAO(product) YOTE ... HEDGING VILEVILE so usilete viterminology kufichia upigaji wenu....
Kwani tusinge shangilia Putin hasinge ivamia Ukraine.Wengi mlishangilia uvamizi wa Putin Ukraine maana wabongo kila kitu wanafanya masihara sasa mnaanza kuonja athari za uvamizi. Na bei za mafuta zikipanda, bei za bidhaa na vyakula nazo zitapanda. Maana vyakula na bidhaa vinategemea mafuta kusafirishwa. Na bado msubiri bei za unga wa ngano na mikate zitapanda maana nazo zinaagizwa kutoka Ukraine na Urusi.
Najua hiyo ni Bei ya crude, na wakishasafisha ndio inakuja sasa bei halisiNot necessary isipokuwa refinery zinakuwa na anticipation how much the prices are likely to rise and fall during the month utapewa average anticipate price or highest anticipated price.
Halafu usisahau hiyo ni bei ya crude for refined by products the price is even higher.
Hiyo bei ya $126 ilikua mid March, kwa maeezo yako ya miezi mitatu nyuma basi Bei ilikua $90.126$ ilifika muda mdogo sana kama wiki tu mafuta kabla ya mwaka yalikuwa 60 kufika 106 ndio yamekaa muda mrefu lazima ujuwe hiyo ni bei ya crude sio refining products kikubwa fahamu mafuta hawanunui kila siku watu wananunua miezi mitatu mbele kama minada. Kama ilikuwa 126$ sasa bei zilikuwa bei gani kwetu? zilikuwa juu au? maana kama ilikuwa 126 kwa maneno yako basi wasifie serikali kuwa waliuza bei ya chini wakati huo. 126 ilifika short sana 100-106 imekaa kwa muda na hii ni brent sio wote wanazalisha standard ya brent yako ya bei ya chini tu. Kuna mafuta mpaka 80$ sasa hujiulizi kwanini yote bei moja kwenye refining. System yetu ya kutumia plat kwenye bulk ndio shida hata kama mtu kanunua huko chini ya plat kwa dola 10 huku wana calculate plat price ndio maana nasema hii system itazamwe upya ina kasoro nyingi haina ushindani.