Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Meneja Wa Makampuni kuna uzi wako humu ulitupigia mahesabu kuwa bei itapungua kwa sh 1200 lkn.Hakuna hela iliyopigwa, Mimi nimeshafanya hesabu zote.
Soma tena ulochoandikaYaani nashangaa watu hawaelewi nn hapo,ni kwamba inonekana bei inazidi kupanda na mwezi huu ingekua Tshs 3000 kwa dar,lkn ruzuku imeishusha na kua Tsh 2994.
Mbona hesabu rahisi iyo mnakwama wapi kuelewa??
Ni ruzuku ya Tshs 300
Yamekuwa maji ya kunywa.Bado hiyo bei haitoshi yapungue mpaka 2500 kwa lita
Hakuna punguzo hapo. Hiyo ni danganya toto. Kesho kutwa tu watapandisha tena kufikia hiyo hiyo elfu tatu na kitu. Wana siasa hawawezi kuongoza nchi wameshindwa kabisa. Vitu vinapanda bei kila siku!!!!!Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya ya mafuta zinazoanza kutumika Juni mosi, huku kukiwa na unafuu kutoka na ruzuku ya shilingi Bilioni 100 iliyotolewa na Rais Samia mapema mwanzoni mwa mwezi huu...
Kama unakumbuka vizuri nauli zilipandishwa bei ya mafut ilipopanda na kufikia 2800 na kitu hivi. Hatukupiga kelele. Ilivyopanda mpaka 3300 na kitu ndipo watu wakapiga kelele. Nauli haiwezi kushushwa kwa vile ilipanda kipindi cha 2800 na kitu.Hizi ni ngonjera flani hivi.
Walijua watatoa ruzuku kwa nini wapaishe nauli?
Leo wamepunguza bei issue ya nauli inasimamia wapi?.
Sawa.Gharama za maisha zilipanda
Mtakatiliwa mbali, na Bei zitashuka.Yamekuwa maji ya kunywa.