EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta zinazoanza kutumika Juni Mosi

EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta zinazoanza kutumika Juni Mosi

Huku sio kuupigwa mwingi Bali Ni kuubutua, hakika mama anaubutua mwingi,!!

Sio mitano tena , Bali Ni milele kwa mama samia
Unatengeneza tatizo halafu unajifanya kutatua ili uonekane mwamba.
Hakuna kuupiga mwingi wala nini hakuna chá maana hapo kama nikuupiga mwingi baa da ya kuona mafuta yapojuu duniani yeye alikuwa ashushe hapo ndio kuupiga mwingi kinyume chake jichekeni.
 
WanaJF leo tunaona badiliko la bei mafuta hapa Tanzania,na badiliko hili ni kutokana na RUZUKU iliyotolewa na Mhe.Rais SSH. Sasa EWURA wakija na badliko la bei lwa kila mwezi kutokana na soko la dunia badiliko hili litaadhirika ama kutakuwa na Ruzuku ingine?Maana nchi zingine zitoa tupunguzo kutokana na RESERVES WALIZONAZO SISI HUKU NI RUZUKU KWA TSHS....Nomba kujuzwa zaidi..Nawasilisha kwenu WanaJF..
IMG-20220601-WA0057.jpg
IMG-20220601-WA0059.jpg
 
WanaJF leo tunaona badiliko la bei mafuta hapa Tanzania,na badiliko hili ni kutokana na RUZUKU iliyotolewa na Mhe.Rais SSH. Sasa EWURA wakija na badliko la bei lwa kila mwezi kutokana na soko la dunia badiliko hili litaadhirika ama kutakuwa na Ruzuku ingine?Maana nchi zingine zitoa tupunguzo kutokana na RESERVES WALIZONAZO SISI HUKU NI RUZUKU KWA TSHS....Nomba kujuzwa zaidi..Nawasilisha kwenu WanaJF.. View attachment 2246722View attachment 2246723
Magazeti ya kinafiki haya sasa hilo punguzo gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatengeneza tatizo halafu unajifanya kutatua ili uonekane mwamba.
Hakuna kuupiga mwingi wala nini hakuna chá maana hapo kama nikuupiga mwingi baa da ya kuona mafuta yapojuu duniani yeye alikuwa ashushe hapo ndio kuupiga mwingi kinyume chake jichekeni.
Hii ni thinking ya ajabu sana, kwa hiyo ukisema kutengeneza tatizo unamaanisha tuliwagombanisha Ukraine na Urusi wapigane ili mafuta yapande au unamaanisha nini?
 
Mama yuko kazini; Kazi iendelee


Tutamwongeza miaka mitano mingine akiendelea kutukosha hivi👊
 
Mimi huwa najiuliza haya makato sijui ya EWURA na TBS ni ya nini? pesa hizi wanazifanyia nini? hawa ni watumishi wa serikali wako kwenye payroll hata kama wamelala hawana kazi. Hizi pesa huwa wanazifanyia nini? kwa kazi gani? ku regulate bei tu? huwa najiuliza sipati jibu kama kuna mtu anajuwa hebu atueleze wanakusanya za nini? mishahara yao? hata mishahara mbona pesa ndefu inakusanywa inaenda kwenye matumizi gani?
Hii ni Sirikali na siyo Serekali!!!eboo!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
... kwenye petroli si kuna punguzo la sh. 154 boss? Au ulitegemea kugawiwa bure ndio uone kuna punguzo?
[emoji23][emoji28][emoji1787][emoji23]unawapa watu TKO mapema sanaa...punguzo lbda alidhani inaweza shuka tshs 500+
 
Yaani nashangaa watu hawaelewi nn hapo,ni kwamba inonekana bei inazidi kupanda na mwezi huu ingekua Tshs 3000 kwa dar,lkn ruzuku imeishusha na kua Tsh 2994.
Mbona hesabu rahisi iyo mnakwama wapi kuelewa??
Ni ruzuku ya Tshs 300
Mambo ya kufikirika hapa hatutaku, inaonekana wapi? Kwa hyo bei ya mafuta duniani inapanda kila mwezi. Kweli watanzania ni rahisi kuwaongoza, wanakwendakwenda tu, nchi gani umesikia leo imepandisha tena bei ya mafuta?
 
Sijawahi kuona raia wapumbavu kama Watanzania asee. Yani mnashangilia eti "mama anaupigwa mwingi?" Hizo Billion 100 amezitoa mfukoni mwake au?

Aaahh huu ni ujinga mkubwa kabisa.
Unatukana watanzania? au unatukana wanaosema mama anaupiga mwingi? wewe ndo unaweza ukawa mpumbavu no 1
 
Atake asitake mama ataongoza milele nchi hii,hata akikataa tutamlazimisha!!
Ni kweli mama anaweza msikivu yupo social hana shida na mtu, ile mikasa ya watu kufa kwa mapresha haipo wafu kuelea baharini haipo challenges ni ndogondogo tu ambazo tunaamini atazi solve the way she makes stability to offices.
Congratulations mama #SSH.
 
3000 kwa petroli bado ni kubwa Sana mbona Zanzibar ni 2600. Punguzo ni 148 tu
 
Hii ni thinking ya ajabu sana, kwa hiyo ukisema kutengeneza tatizo unamaanisha tuliwagombanisha Ukraine na Urusi wapigane ili mafuta yapande au unamaanisha nini?
Nikimaanisha kwamba mafuta yamepanda duniani ili isiwe kiki na tuweze kumsifu samia kwa utendaji wake wa kazi yeye alikuwa ashushe bei au awache bei iliyokuwepo na sio kupandisha halafu tumsifu kwamba anaupiga mwingi.

Kinyume chake kwamba apandishe bei halafu ashushe bei baadae tumsifu kwamba anaupiga mwingi nikujichekesha.
 
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya ya mafuta zinazoanza kutumika Juni mosi, huku kukiwa na unafuu kutoka na ruzuku ya shilingi Bilioni 100 iliyotolewa na Rais Samia mapema mwanzoni mwa mwezi huu...
Hiyo tabia ya kutembeza BAKULI Kwa majirani watatuchoka, Itafika time wakituona tu wataambiana "Funga mlango anakuja ombaomba.''

Tufunge mkanda, tupunguze MATUMIZI ya serikali yasiyo ya lazima, maana tunasikia WARSHA na masemina yametamalaki, ni kulipana miposho tu.

Tumewaambia dhibiti wezi wasiibe hamtaki, maana ndiyo miradi yenu.

Tunasema punguza Kodi kwenye importation ya mafuta, mnapenda kopa Ili tulipe sie, mnapunguza mia3.

Mlifanikiwa kutuliza kelele Kwa muda tu, sasa kelele za muda huu ndo hazina kikomo.😠😠😠😠
 
Back
Top Bottom