EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta zinazoanza kutumika Juni Mosi

EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta zinazoanza kutumika Juni Mosi

Piga kazi mama tumecheleweshwa mnooo kama taifa. Kanyaga twende
 
Abiria kuweni na ushirikiano lipeni mia nne bei zamani, msiwe watoto mayai kila kitu kufanyiwa.
Siyo kwa Tanzania aseee, leo kuna binti kalipa nauli 2000 alipanda kituo A akashuka kituo D konda kamrudishia 1000 binti kadai 500 konda hakumjibu kagonga gari ikaondoka, abilia wengine wakapotezea.
 
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya ya mafuta zinazoanza kutumika Juni mosi, huku kukiwa na unafuu kutoka na ruzuku ya shilingi Bilioni 100 iliyotolewa na Rais Samia mapema mwanzoni mwa mwezi huu.

Bei mpya zilizotangazwa na EWURA zinaonesha kuwa petrol itauzwa 2994 badala ya 3301 punguzo la Shilingi 306 huku Dizeli ikiuzwa kwa 3131 badala ya 3452, punguzo la 320 kwa mkoa wa Dar es Salaam.

View attachment 2246240View attachment 2246241View attachment 2246242
upuuzi mtupu
 
Back
Top Bottom