EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta zinazoanza kutumika Juni Mosi

EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta zinazoanza kutumika Juni Mosi

Zaidi ya dar kote mafuta yatakuwa 3000+ hapo ndio wameshusha kwa mbwewe hakuna kipya.

USSR
Screenshot_20220531-214342.jpg
Screenshot_20220531-214318.jpg
Screenshot_20220531-214357.jpg
Screenshot_20220531-214412.jpg
Screenshot_20220531-214433.jpg
Screenshot_20220531-214554.jpg
Screenshot_20220531-214529.jpg
Screenshot_20220531-214452.jpg
 
Mama Anaupiga Mwingi

Yani punguzo ni Tsh 300 hahahaha! Mafuta ya petrol hayatakiwi kuvuka Tsh 2800 hii ndio bei inayotakiwa kuwepo sokoni ni lazima watibu tatizo kwa kuondoa mlolongo wa tozo zilizopo na kuondoa kodi zilizo ongezwa ! Kinyume na hapo ni kutengeneza tatizo na kulitatua kidogo halafu mnajisifia kuupiga mwingi.......kwani mwanzo mafuta yalikuwa Tsh ngapi? Na nauli zitashuka kwa Tsh ngapi?
 
Punguzo ni shilingi 150 sio 300.

Petroli Dar ni 3,148 na sio 3300.

Ewura wametoa taarifa ya uongo.
 
Abiria kuweni na ushirikiano lipeni mia nne bei zamani, msiwe watoto mayai kila kitu kufanyiwa.
Hizi ni ngonjera flani hivi.
Walijua watatoa ruzuku kwa nini wapaishe nauli?

Leo wamepunguza bei issue ya nauli inasimamia wapi?.
 
Back
Top Bottom