CCM ni zaidi ya kirusi, wakati wanaongeza kodi kwenye bajeti walishanhilia Ila sasa haohao wanaanza kuliaBajeti inapopitishwa mnashangilia ikianza kutumika, mnaanza kupiga kelele tena?!!sioni cha ajabu tulishazoea tu hata ifikie lita sh.3000 sawa tu!!hadi hapo akili itakapotukaa sawa
Kuwa kuelewa, kwenye bajeti mpya serikali ikiongeza kodi ya sh.100 kwenye kila lita na ndio matokeo yake hayo unayaonaMafuta huwa yanapanda na kushuka
Inamaana bado hamjazoea hali hiyo
Ova
Sometimes tunapagawa mkuu!!hadi hatujui nani ni adui yetu, kwa hiyo anayejipitisha tu mbele yetu, tusi linakuwa lake hata kama sio muhusika!!na roho zetu zinasuzika!!!hahaaaMkuu umetufokea 😂😂
Nani akasema? Mimi sijasema upinzani hauna maana, wala mama afanye kazi.Kodi imeongezwa bajeti mpya, ndio maana Bei zimepaa. Tulipigia kelele hili mkasema wapinzani hatuna maana tumuache mama afanye kazi
Hata miaka 100 ijayo mahitaji ya mafuta bado yatakuwa yaleyale.Miaka 30 kutoka sasa kutakuwa na wahamiaji haramu kutoka uarabuni kuliko kawaida! Biashara ya wese inaenda kuuliwa na akina electric engines n machines[emoji3]
1000 kwa lita.[emoji2]Sisi mataga tutauziwa kwa bei hiyo!??
hahahahahaSisi mataga tutauziwa kwa bei hiyo!??
Sometimes tunapagawa mkuu!!hadi hatujui nani ni adui yetu, kwa hiyo anayejipitisha tu mbele yetu, tusi linakuwa lake hata kama sio muhusika!!na roho zetu zinasuzika!!!hahaaa
Unajisikiaje ukajiajiri ukizi vigezo vya kununua mafuta...Mama anahujumiwa au Mama anatuhujumu?
Tulia wewe,we mtu mdogo Sana katika nchi hii huna uwezo wa kumtisha rais,pole Sana,mwambieni dj Mbowe aitishe maamdamano.Halafu mama anataka watu wajadili uchumi na sio siasa.
Anachokitafuta atakipata tu, wewe subiri tu.
Pole Sana,nyie ndo kila siku mumo humu kupigia chepuo katiba mpya,ajabu hamjui hata katiba yetu ya sasa inasemaje,Wafanyabiashara wa mafuta.wanatest mitambo. Rais samia fuatilia chukua hatua haraka sanaa.