EWURA yatangaza kupanda kwa bei ya mafuta leo Septemba 6, 2023

Dalali mkuu yuko ikulu yule ndio wa kudeal nae
 
Itaenda hadi 3,500 - 3,600 ila haitavuka 3,800 kwa mwaka huuu
 
Wanaohujumu mafuta ya Petroli ni serikali wenyewe,CCM ni mafisadi👇
Your browser is not able to display this video.
 
EWURA iondolewe mamlaka ya kupanga bei za mafuta.
 
EWURA inapaswa kuondolewa mamlaka ya kupanga bei za mafuta.
 
Kipindi cha Magu huko Opec walikuwa wanamuogopa? Bei hazikuwa hizi.

Afu BOT watakwambia hakuna mfumuko wa bei.
magu magu....kila kitu magu.....alikutana na upepo wa cvd 19 watu wapo lockdown mafuta ya kumwaga kwa wazalishaji...bei ikashuka...hapa niserikali iamue kwenda against westen waanze kusorce fuel from mosscow ndio italta ahueni...au ewura ingevunjwa watu waruhusiwe kuingiza mafuta kutoka wapojua wao... hakuna bei za hivi zingetokea....hizo protocal ndio zinapandisha bei sana....mfano sukari magu aliishika ikapanda na haijawahi shuka kabisa...akaja mafuta ya kula yakapanda maza anajaribu kurudisha mfumo uliokuwepo kila mtu alete anapojua yeye....
 
Mbunge anasimama bungeni kutoa taarifa ya tendaa za mafuta kuchezewaaa anasimama Spika kukataaa taarifaaa sababu Mumewe ni kiongozi wa Ewuraaa... ungeseee umejaa kila konaaa yani hasiraa tuuu! Nchi inaenda kindugu kuanzia mihimili mikuu ya nchi[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] Kulindanaa waibee vizuriii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…