EX ananiomba pesa. Ushauri wenu please

EX ananiomba pesa. Ushauri wenu please

Kanuni ya nani?
Swali lako linaonesha huwezi kufanya abstract thinking, hivyo wewe si Alpha Male.

Alpha Male anatakiwa kuweza kufanya abstract thinking.

Wewe umekaa kupiganapigana kishamba tu, ndiyo maana unauliza "nani" umpige.
 
Mwanamke ombaomba ambaye hajaolewa ana options 4 tu

1. Auze nyapu

2. Atafute kazi ya kumuingizia kipato

3. Amwombe baba yake mzazi, huyu ndiye aliyemleta duniani. Na ndiye mwenye jukumu la kumhudumia binti yake ambaye hajaolewa

4. Atue shida zake kwa Mungu wake
 
Habari za muda huu? Huyu mdada ni mtu niliyekuwa nae uhusiano Kwa years Toka 2019-2023 hapo ndipo ulikuwa mwisho wetu na aliyeniacha ni yeye na Mimi kwakua ni ALPHA MALE sijawahi shoboka nae sasa yeye Huwa ananipigia simu

Kila baada ya week 2 Huwa lazima anitafute nimeshazoea Hilo lazima hupiga simu Leo pia nilikuwa mbali na simu nikakuta missed call yake nikamwambia piga akapiga hatukuwana alikuwa kwenye kelele Sana.

Tukachat kidogo akaomba PESA je uyu mtu ana akili timamu kweli?View attachment 3114202

Hiko ndio kilimweka kwako haha
So lazima aendelee kufata

Akiwa na nyege ataenda Moyo wake ulipo

Akiwa na shida atakuja kwenye ATM yake
 
Hiko ndio kilimweka kwako haha
So lazima aendelee kufata

Akiwa na nyege ataenda Moyo wake ulipo

Akiwa na shida atakuja kwenye ATM yake
Sikuwahigi kumpa hela yeye ndiyo alikuwaga ananipa
 
Mbona ameomba hela bila maelezo na wewe umemuuliza sh.ngapi? halafu unatuuliza sisi kama ana akili au hana!!! wewe tuma tu mambo ya akili mtajuana mbele ya safari
 
Halafu 2023 hapo, huyo bado hana vigezo vya kuwa Ex
 
Habari za muda huu? Huyu mdada ni mtu niliyekuwa nae uhusiano Kwa years Toka 2019-2023 hapo ndipo ulikuwa mwisho wetu na aliyeniacha ni yeye na Mimi kwakua ni ALPHA MALE sijawahi shoboka nae sasa yeye Huwa ananipigia simu

Kila baada ya week 2 Huwa lazima anitafute nimeshazoea Hilo lazima hupiga simu Leo pia nilikuwa mbali na simu nikakuta missed call yake nikamwambia piga akapiga hatukuwana alikuwa kwenye kelele Sana.

Tukachat kidogo akaomba PESA je uyu mtu ana akili timamu kweli?View attachment 3114202
Mpe
Tena uwe unampa mara kwa mara
 
Back
Top Bottom