Ex harudiwi. Ilikuwaje ulipomrudia Ex wako? (Ushuhuda)

Ndugu fata moyo wako ila X acha aitwe x
Binafsi mpk anakuwa x ujue mlishindwana mimi nilimwomba msamaha x wangu ila nilimwacha sababu ya wivu tu coz bado ninampenda nikaamua nirud ila yale yote nisiyoyapenda bado anayo nikaona WTF sitakufa mm nikaamua nitulie zangu tu

Alhamdulilah saiv anajicommentisha na viemoj vya love japo nimepata mwingine ila bado nampenda ninachijifunza mimi ni kupenda coz sio mtu wa wanawake kbs nipatapo mtu na sticky mpk azingue yeye

Tafuta mwingine
 
Muulize mshamba mmoja wa Kariakoo yeye imekuwa ngumu ku move on.Kila siku kutishia EX wake atarudi Shinyanga utafikiri amemleta Dar.
Enjoy while it lasts.
 
A bitter experience makes us a better person,, nimependa sana hili neno nje ya mada

Nilipitia nyakati ngumu sana wakati fulani hivi,, basi kwa uchungu na maumivu yale yamenifanya leo kuwa bora zaidi,
Yepi hayo mkuu?

If u don’t mind pls share with us
 
😁😁 pathetic indeed
 
Thank u for sharing with us
Na hongera kwa kuwa mtu bora sana
 
Thank u so much

Niamini mkuu this means a lot to me
 
Muulize mshamba mmoja wa Kariakoo yeye imekuwa ngumu ku move on.Kila siku kutishia EX wake atarudi Shinyanga utafikiri amemleta Dar.
Enjoy while it lasts.
β€œEnjoy while it lasts”
 
Tuliachana tukiwa na mtoto 1 but now tupo vizuri baada ya kurudiana na tuna ndoa na watoto watatu, makosa tuliapa kuwa hatutorudia na ni kweli we are in fire [emoji91] of love [emoji7] not love fire [emoji91] get me.... Ex mtamu haswa ukimrudia
 
Jamaa ako hapo kitandani kalala na malaya mbwa tu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Paragraph ya mwisho jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…