Ex mchezaji wa Yanga aingizwa mjini, atapeliwa NYUMBA na mbongo, kataa ndoa kichekoo, tusali sana wajameni

Ex mchezaji wa Yanga aingizwa mjini, atapeliwa NYUMBA na mbongo, kataa ndoa kichekoo, tusali sana wajameni

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Mwaka Fulani nikiwa Dar coco beach, nilibahatika KUMUONA Mukoko Tonombe akifanya mazoezi mepesi nadhani hicho ndio kilikua kipindi katoka majeruhi ya muda mrefu.

Kwa pembeni yake alikuwepo mtoto mzuuri alikua ameshikilia viatu vya mukoko, mi nilidhani yule demu ni mkongo mwenzake kumbe la hasha huyo demu ni mbongo anaitwa mage labda sababu hakua maarufu, ndio mana nili tegemea atakua mkongo yule.

Sasa inasemekana demu kampiga Mukoko NYUMBA live na jamaa hana cha kufanya labda sababu pia uraia.sija bahatika kumsikiliza mage ili tupime uzito unalalia wapi ila Kwa sasa mwanetu Kesha pigwa hat trick, NYUMBA ilijenhwa na nani, mukoko anadai ni yake, demu bado hajafunguka

HAKUNA MWANAUME ALIE SALAMA TUSALINI NDUGU ZANGU.

Screenshot_20260810-203444.jpg
 
Mwache apigwe uzizi haujawai kumwacha mtu salama wenzake wanakujaga na wake zao yeye anapuyanga na madanga mwana kulitafuta
 
Labda issue kwakua tonombe mukoko ni popular lakn kama nimatukio mbona tunapigwa mengi zaidi ya hilo....
Binafs nilishaleta na uzi wa kupigwa(kutapeliwa) shamba la maharage heka 2 na robo na m-bena flan wa korito njombe pale tena limepandwa maharage ya mwezi na nilileta uzi humu Mpwayungu Village akasema niache kulialia...
Alie kutapeli alikua mpenzi wako?
 
Labda issue kwakua tonombe mukoko ni popular lakn kama nimatukio mbona tunapigwa mengi zaidi ya hilo....
Binafs nilishaleta na uzi wa kupigwa(kutapeliwa) shamba la maharage heka 2 na robo na m-bena flan wa korito njombe pale tena limepandwa maharage ya mwezi na nilileta uzi humu Mpwayungu Village akasema niache kulialia...
Ukome
 
Back
Top Bottom