Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Ex mchezaji ndio takataka gani? Kwani ungeandika taratibu ukahariri kabla ya kupost ungepungukiwa nini? Unakimbizana na nani?Modes rekebisheni sio Tanga ni yanga
Alie kutapeli alikua mpenzi wako?Labda issue kwakua tonombe mukoko ni popular lakn kama nimatukio mbona tunapigwa mengi zaidi ya hilo....
Binafs nilishaleta na uzi wa kupigwa(kutapeliwa) shamba la maharage heka 2 na robo na m-bena flan wa korito njombe pale tena limepandwa maharage ya mwezi na nilileta uzi humu Mpwayungu Village akasema niache kulialia...
Dah mkuu tufe na MUNGU man hakuna ajuaye kesho, dunia ya Leo hakuna wakukuhurumiaSasa ndio mnaelewa kwa nini makundi ya kataa ndoa yanazidi kuongezeka? Huku nje kuna high risk tupu.
MUNGU tu, tusali sanaTunaendelea kuchafuka zaidi
UkomeLabda issue kwakua tonombe mukoko ni popular lakn kama nimatukio mbona tunapigwa mengi zaidi ya hilo....
Binafs nilishaleta na uzi wa kupigwa(kutapeliwa) shamba la maharage heka 2 na robo na m-bena flan wa korito njombe pale tena limepandwa maharage ya mwezi na nilileta uzi humu Mpwayungu Village akasema niache kulialia...
Ndiyo na niliamin kwakua ni mwenyej wa kule angesimamia vzuri wakati me naendelea na pilika zingineAlie kutapeli alikua mpenzi wako?
Asante...Ukome
Kabisa mkuuMUNGU tu, tusali sana