Ex wa Jux ni mzuri kuliko current girfriend, kwani Tanzania hamna warembo mpaka mnaenda Delta Niger?

Huyo caren mbona sura mbaya kama fish
Huyu ex we humjui tulia usijifanye mwana familia

 
Karen ni nan sasa?
Me namwongelea ex niliemweka kwa picha anaitwa Doris sio caren
 
Haujui? Au unauliza tu hao kutoa GOTI mashauri sana kwa hio akijishauri sana wakati huko nje anagawa GOTI piga chini
Du
 
It's a strategy ya kuongeza fan base.. Kwa msanii hiyo ni plus!
Kweli kabisa
 
Beauty lies in the eyes of the beholder.
Sauwa

Mungu anakuooooona

 
Bora na wewe😂 nakupa kura
Kwenye kuchagua wapenzi wanaume hatuangalii uzuri tu.
We wadhani babu wakati anakuoa alikuona wewe ndo mrembo kuliko warembo wote aliowahi kukutana nao?
Bila shaka si kweli
 
Jux mwenye hata huyo wa sasa,atamgonga na kumwacha, mwamba hana time ya kuoa.
Mbona hasira sana?
 
Unapenda watu wachangie threads zako,sasa hasira zimetokea wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…