EX wako unamuombea maombi gani na kwanini?

[emoji28][emoji28][emoji28]pole mkuu

Kwa hiyo tutarajie mauaji kutoka kwako hapo baadae?
 
Mimi ma X Zangu zaidi 75 wote saiz wamezaa watoto cha ajabu mimi tu ndo sina mtoto nasikitika sana kwa kushindwa kunipa ata katoto kamoja.
 
No hard feelings yani, si nilikula wakati wangu bwana, waendelee wengine ni zamu yao.

Let them prosper yani, kwani wakifanikiwa mimi naumia nini.

Ila kina ex huyo akijichanganya tu napiga tena[emoji23][emoji23][emoji23](kidding)
 
No hard feelings yani, si nilikula wakati wangu bwana, waendelee wengine ni zamu yao.

Let them prosper yani, kwani wakifanikiwa mimi naumia nini.

Ila kina ex huyo akijichanganya tu napiga tena[emoji23][emoji23][emoji23](kidding)
Hamna cha kidding nimeshainyaka hiyo Chief
 
Nawaombea mafanikio wakapate wake wema.

Kila mtu huja kwa kusudi maalum maishani ukiona hayajatick ujue haikupangwa. Na kukaa na mtu moyoni siwezagi kwanza moyo utapanuka. Happiness in life comes from lots of things sio relationships tu.

Kilichopangwa na Mungu kinakuja si mbali..hata kikikawia kitakuja tu.
#lifeisgoodyoh#
 
Tukiachana tumeachana, nafuta ukurasa naanza upyaaaaa na bikra yangu[emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akili huna wewe... umenichekesha.
 
Ukweli ni kwamba watu wakiachana kuna kua na uadui wa chinichini, iyo kuombeana mema ni unafiki tu, maana hadi kuachana means kuna baya lilitokea kwenye mahusiano yenu
Nakuunga mkono mkuu, na ndo nachokazia tangia mwanzon wa uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…