Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chief umeshaoa?kama bado tafuta mke uoe uanzishe familia yako.Usihudhunike I did that for love, nilitaka kumfungulia dunia ili awe anachotaka kabla sijamaliza kumfungulia dunia vizuri akaamua kufua.
nitakwenda kumsaidia kuanika, hajui tu huko alipo najua mpaka aina ya kitanda anacholalia, alijitoa tu akili ila anajua kuwa alikua anadate mtu mwenye akili nyingi haahaahahaa
Siwezi piga mtu bastola ili nifungwe ? hapana nilishakaa mahabusu mwezi mzima kule sio pakwenda kaka.Mkuu punguza jazba, na usitembee na bastola pengine mnaweza mkakutana njiani ukaleta mabalaa kama vijana wa sinza [emoji38]
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Ana hasira vibaya sana, sema kwa aliyomtendea yote yale halafu analeta ujinga wa namna hiyo unaeza ua mtu aiseeAiseh mwamba kabeba kisasi kizito mnooooo
Ndo mana nasema hivi asamehe.kitu ukikisema na kukisimamia kinaendelea kukua siku baada ya siku aisehAna hasira vibaya sana, sema kwa aliyomtendea yote yale halafu analeta ujinga wa namna hiyo unaeza ua mtu aisee
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Sioi boss na nina sababu 100 za kwanini sioi.Chief umeshaoa?kama bado tafuta mke uoe uanzishe familia yako.
Achana na roho ya visasi.
Mwache amalizie kufua kwanza
Ndo hivyo, mjuane..!! Sasa utawekwa kwenye makundi mangapi ya hivyo, hapo itategemea na umeshachakalika kiasi ganiJehovah 😁😁😁
Kinyama aiseh.amenifundisha mengi mno..Mshikaji ulimpenda aisee, ila ndio hivo we plan but God decides. Pole sana
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Chakorii kuna takataka zinatakiwa kufundishwa kutoa hata neno la shukurani hata kanisani tunaambiwa kila siku.Ndo mana nasema hivi asamehe.kitu ukikisema na kukisimamia kinaendelea kukua siku baada ya siku aiseh
Ana hasira kali mno aiseh
Wacha bhana huo sio wivu bali ni ugonjwa.Daktar wa saikolojia alishanihakikishia tatzo langu haliwez kutibika itabidi nikubali kuwa naachwa tu.
Yan hili tatzo la WIVU!!! usiombe likupate. bora uwe na kibamia utavumiliwa. huu ugonjwa nampataga mpenz nampa kila mwanamke anapenda kwa mwanaume lakin nakaba hadi ananikimbia!
mtaalam alinitest kuwa ninunue callgirl, lakin nilipomaliza kuhudumiwa nikalipa pale pale nikaanza mashart asiuzie mwingine nikajicommit kuwa nampa wastan wa posho, ndo Dr akasema nimeshashindikana kupona!
ndo hivyo nikashauriwa na nisioe kabsa. sijui nikizeeka nani atanifunga pampers na kunipeleka juan!
Unasema hufanyi nini??labda pengine umri bado.aise..Sioi boss na nina sababu 100 za kwanini sioi.
ningekuwa mtu wa visasi leo hii ningekua jela
sikumlazimisha kukaa, nilitaka aage vizuri hata nisingemzuia
Abou pleeeeaase...😌Chakorii kuna takataka zinatakiwa kufundishwa kutoa hata neno la shukurani hata kanisani tunaambiwa kila siku.
Imagine rafiki yake ananipigia simu anasema " fulani anasema haukua na mpango wa kumuoa ndiomana akakuacha"nilikata simu na ndio hapo nikaanza kuingiwa na plan ya kumsulubu before sikuwa na haya mawazo yani pamoja na yote yale anasema sikuwa na mipango ya kumuoa real? alitaka assurance ya aina gani?