Lububi
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,158
- 3,808
hata mimi ex huwa sipend akwame iwe kiroho au kimwili. sijui kwann mi huwa wana dalili za kutaka nifilisike! uzuri huwa naachwa mimi.Unamlaani?kwanini!
Unambariki?kwanini!
Ninambariki mno mno..nitafarijika niko endelea kumuona anafanikiwa na kuishi na ndoa yake kwa upendo na amani.
Mungu azidi kumkinga na hatari katika maisha yake alikuwepo wakati ninauhitaji na kila mtu aliniacha(nalithamini hilo kuliko kawaida) Mungu azidi kumtunza mtu huyu.
Twende kazi.
🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️