EX wako unamuombea maombi gani na kwanini?

Inabidi ajitahidi sana kuniwahi kuniacha, maana akionesha dalili tu Mimi najiweka pembeni so atakuja kuniacha kumbe Mimi nshamuacha kitambo na sisemi.
Ipo siku yako😁😁lazima ulete ushuhuda
 
huwa sipendi kukutanao hata kwa bahati mbaya ila wengi walinikosea ila nimeshawasamehe ila sitaki kujua wapo wapi au wanafanya nini
 
Kwani kila mtu ana ex wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…