EX wako unamuombea maombi gani na kwanini?

EX wako unamuombea maombi gani na kwanini?

Ameeen...
Alikuacha au ulimuacha??
Hata hatukuachana kwa kutamkiana..ila distance ikatufanya tukapunguza mawasiliano hadi kila mtu akaendelea na maisha yake mengine..ila eti siku hizi ndo anajutia kosa lake.ila ameshachelewa sana may b alijua atazunguka weee mwisho atanikuta nipo tu tuendelee
 
Aisee, whomever i dated u, i dont hate u. Nakuombea sana mafanikio. Hate ni kwa loosers. Usipungukiwe kinamna yoyote ile. Moyo wako ukajazwe na amani. Furaha na upendo visikosekane maishani mwako. Ndoto zako zikatimie. Furaha yangu ni kuona umafanikiwa kila lililo hitaji la moyo wako. I dont hold u. Nimekusamehe kivyovyote vile. Enjoy every moment of ur life
Kama yanatoka moyoni Haya maneno basi Mungu akutie nguvu ukafanikiwe katika mahitaji yako
 
Hata hatukuachana kwa kutamkiana..ila distance ikatufanya tukapunguza mawasiliano hadi kila mtu akaendelea na maisha yake mengine..ila eti siku hizi ndo anajutia kosa lake.ila ameshachelewa sana may b alijua atazunguka weee mwisho atanikuta nipo tu tuendelee
Anajutia nini sasa mwambie aende alikopeleka mboga😁
 
Back
Top Bottom