cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Jah amzidishie mafanikio na baraka tele, apate kila kile anachohitaji na afurahie kwa yote afanyayo.
Sitamsahau kamwe ktk maisha yangu, kwani alisimama na mie ktk kila hali, ilifikia hatua nilikua naona dunia mzigo, ila alinishika mkono na kuniinua.
Amenijenga kifikra, mtazamo na mawazo chanya juu ya kile ninachokiamini au kilichopo ndani yangu, amenipa mengi maarifa na ujuzi, kujiamini na kujikubali kwa kila hali niliyopo.
Awe na furaha na amani ktk mahusiano yake,
Nakukumbuka sana M. ntakupenda milele.