Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes dear. Sijawahi mhate mtu nikiyempenda. Hata kama mahusiano yameisha. Siwezi jenga chuki. Nitakua sikua na upendo wa kweli. Naumia sikupenda iwe hivi ila lazima nisimame kwenye lane yangu kulinda utu wangu. Sometimes breakups haimaanishi hatiwapendi wenzi wetu ila circumstances zinapelekea. Inauma sana. Ila maisha lazima yaendelee.Kama yanatoka moyoni Haya maneno basi Mungu akutie nguvu ukafanikiwe katika mahitaji yako
Nafikiri keshakuwa mtu mzima kaacha na ana mume na watoto watatu.Makundi ya baadhi ya wanawake yasiyonahofu ya Mungu yanaharibu sana wanawake wengine.usikute labda ni maushauri huko alipewa
💯Yes hawaachani vizuri ni kweli.lakini ukija kutafakari unajikuta unashukuru Mungu Chief
Maskini...Ombi langu ni kumpata aliyesahihi katika maisha yako.Mungu akutangulieYes dear. Sijawahi mhate mtu nikiyempenda. Hata kama mahusiano yameisha. Siwezi jenga chuki. Nitakua sikua na upendo wa kweli. Naumia sikupenda iwe hivi ila lazima nisimame kwenye lane yangu kulinda utu wangu. Sometimes breakups haimaanishi hatiwapendi wenzi wetu ila circumstances zinapelekea. Inauma sana. Ila maisha lazima yaendelee.
Amina dear.Maskini...Ombi langu ni kumpata aliyesahihi katika maisha yako.Mungu akutangulie
Hawezi jua kuwa namsema yeye maana asilimia 80 ya wagombea huenda huko kwa sangoma kupikwa na kupata nyotaShauri zako anakuchora humu kwa ID yake ya JF tu utashangaa unapoteza kibarua ghafla.
Tukutane kivipi?acha ujinga ujuwe na hizi habari za petrol sitaki kusikia.Ohoo oky..so ukikutana nae unaweza kufikiria kuwa nae tena?
Sikupingi
😐😐siwezi mpa atanidharau mimi na hubby....alaf ukishakuwa x wangu yan huwa sirudi nyuma..Mpe japo kiduchu tu ukimpa yote atakuganda.😜
Hasira hasara,yeye ndio amekufikisha hapo ulipofika.[emoji52][emoji52]siwezi mpa atanidharau mimi na hubby....alaf ukishakuwa x wangu yan huwa sirudi nyuma..
Yule mtu bana alikuwa na dharau flan baada ya kutusua kwenye haya maisha.Akawa na dharua za hapa na pale na anajua wadada wengi wanamng'ania.baada ya mim kumaliza chuo nkaondoka Dsm tukawa tunawasiliana ila kwa kusua sua..hapo mim sina kazi basi hata nkimtafuta mara niko bz unajua kazi za watu.miyeyusho mingi had mawasiliano yakaanza kulegalega hadi yakaisha.amezunguka sana tu muda wa kuoa ulipofika akaona mimi ndo nafaa kuwa mkewe.anakuja kunitafuta tayari mim nshakuwa na familia.Aliniomba na kunisihi niachane na mume wangu..nadhani hakuamini ni mim niliyempa yale majibu hadi leo.Basi analia lia ooh mim ndo nlistahili kuwa mumeo sijui nilikuwa na malengo nawe.Mimi namzoom tu jamani..alinichosha zaidi alipokuwa ananiambia kuwa anakuja mkoa nilipo tukutane tuspend siku mim na yeye.nkamwambia haitawezekana wala sihitaji hayo mambo.hakunitafuta tena na mim wala sina story nae
Tulikuwa hatuongei lugha mojaOhooo Hallelujah mtumishi wa Bwana.ni wachache snaa wenye kuyasema Haya.
Nini kilitokea mpka kufikia hatua ya kumuombea mema?
Moyo wangu kwa stage uliopo naeza fanya ya NEEMA haki vile I need counseling [emoji1751]Unamlaani?kwanini!
Unambariki?kwanini!
Ninambariki mno mno..nitafarijika niko endelea kumuona anafanikiwa na kuishi na ndoa yake kwa upendo na amani.
Mungu azidi kumkinga na hatari katika maisha yake alikuwepo wakati ninauhitaji na kila mtu aliniacha(nalithamini hilo kuliko kawaida) Mungu azidi kumtunza mtu huyu.
Twende kazi.
[emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Nilimkuta ana mafanikio na kwa sasa ana mafanikio makubwa sana so hata nimuombee mabaya yeye ni wa kufanikiwa tu, bora tu aishi miaka mingi.Yeuyeee🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️Mbinguni huna kikwazo chochote.
Alikufanyia nini mpka kutamani kuona ana mafanikio?
Kwa wengine isipokuwa kwa mmachame mmoja aseeee yule KIMA huwa sitamani hata kuwasiliana nayeWow inaelekea unakumbukumbu nzuri juu yake.safi