EX wako unamuombea maombi gani na kwanini?

Ameeen...
Alikuacha au ulimuacha??
Hata hatukuachana kwa kutamkiana..ila distance ikatufanya tukapunguza mawasiliano hadi kila mtu akaendelea na maisha yake mengine..ila eti siku hizi ndo anajutia kosa lake.ila ameshachelewa sana may b alijua atazunguka weee mwisho atanikuta nipo tu tuendelee
 
Kama yanatoka moyoni Haya maneno basi Mungu akutie nguvu ukafanikiwe katika mahitaji yako
 
Anajutia nini sasa mwambie aende alikopeleka mboga😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…