EX wako unamuombea maombi gani na kwanini?

Kama yanatoka moyoni Haya maneno basi Mungu akutie nguvu ukafanikiwe katika mahitaji yako
Yes dear. Sijawahi mhate mtu nikiyempenda. Hata kama mahusiano yameisha. Siwezi jenga chuki. Nitakua sikua na upendo wa kweli. Naumia sikupenda iwe hivi ila lazima nisimame kwenye lane yangu kulinda utu wangu. Sometimes breakups haimaanishi hatiwapendi wenzi wetu ila circumstances zinapelekea. Inauma sana. Ila maisha lazima yaendelee.
 
Maskini...Ombi langu ni kumpata aliyesahihi katika maisha yako.Mungu akutangulie
 
Hasira hasara,yeye ndio amekufikisha hapo ulipofika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule mtu bana alikuwa na dharau flan baada ya kutusua kwenye haya maisha.Akawa na dharua za hapa na pale na anajua wadada wengi wanamng'ania.baada ya mim kumaliza chuo nkaondoka Dsm tukawa tunawasiliana ila kwa kusua sua..hapo mim sina kazi basi hata nkimtafuta mara niko bz unajua kazi za watu.miyeyusho mingi had mawasiliano yakaanza kulegalega hadi yakaisha.amezunguka sana tu muda wa kuoa ulipofika akaona mimi ndo nafaa kuwa mkewe.anakuja kunitafuta tayari mim nshakuwa na familia.Aliniomba na kunisihi niachane na mume wangu..nadhani hakuamini ni mim niliyempa yale majibu hadi leo.Basi analia lia ooh mim ndo nlistahili kuwa mumeo sijui nilikuwa na malengo nawe.Mimi namzoom tu jamani..alinichosha zaidi alipokuwa ananiambia kuwa anakuja mkoa nilipo tukutane tuspend siku mim na yeye.nkamwambia haitawezekana wala sihitaji hayo mambo.hakunitafuta tena na mim wala sina story nae
 
Moyo wangu kwa stage uliopo naeza fanya ya NEEMA haki vile I need counseling [emoji1751]
 
Yeuyeee🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️Mbinguni huna kikwazo chochote.

Alikufanyia nini mpka kutamani kuona ana mafanikio?
Nilimkuta ana mafanikio na kwa sasa ana mafanikio makubwa sana so hata nimuombee mabaya yeye ni wa kufanikiwa tu, bora tu aishi miaka mingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…