Ngoja nisome comments za wananzengo😂 wazungu ndio hua wanaachana ila wabongo ni upige au upigwe chini
Ndiyo hivyo nahisi nimekosa kuwa na mtu sasahihi kwasababu ya uguma wa maisha.
Na wewe ungeokoka rafiki 😹Aliokoka....
Mwingine alivyo ingia tuu chuo huko dar akaniacha
Sema kibongo bongo kuachana kwa amani hainogi 😀😀😀😀😂 wazungu ndio hua wanaachana ila wabongo ni upige au upigwe chini