Ex wako wa mwisho, nini ilikuwaje sababu ya nyie kuachana/kukuacha/kumuacha

Ex wako wa mwisho, nini ilikuwaje sababu ya nyie kuachana/kukuacha/kumuacha

Mkuu huyo alikua ana chaguo lake la kwanza na wewe ni chsguo lake la pili. Ndiyo maana baada ya Muezi 4 kuachana akapata mimba, Mwanamke anaekupenda na Mwenye hofu ya Mungu ukimuacha anachelewa kwenye kuingia kwenye Mahusiano mapya, Ndiyo maana huyo wako baada kuona aliyekua anamtaka hajamuoa no kama mimba ikabidi arudi mbio mbio kwa chaguo la pili ambalo ni wewe, Wanawake akili zao fupi yani wewe uzalishwe na Mwingine ndoa uitafute kwa Mwingine.
Kumbuka nimembikiri mwenyewe yaani sio used
 
Back
Top Bottom