Ex wako wa mwisho, nini ilikuwaje sababu ya nyie kuachana/kukuacha/kumuacha

Nilishika simu yake nikakuta ana magroup ya telegram kibao na anajitangaza kujiuza.

Nilichukua jina lake la telegram halafu nikamfuata kuongea biashara. Tukakubaliana bei ila wakati wote hajui ni mimi.

Nikamuelekeza lodge ya kwenda, kufika akanikuta nimelaza ndambi langu. Akata kunibadilishia story kuwa kaja kunifumania, nikamuonyesha chats zote pamoja na screenshot za chats za simu yake.

Akijiliza uongo na kuomba msamaha, nikamwambia asaule nimpige kimoko kama tulivyokubaliana kibiashara nimpe chake asepe.

Kilio kikaongezeka kuwa namuona yeye malaya, nikamwambia simuoni malaya bali yeye ni malaya.

Akasepa kwa hasira na ndio ikawa The End.
Duh pole sanaaa

Siri ya mtu ipo moyoni mwake😂😂😂
 
Bahari...ndani na maji marefu na ukatoka mkavu..😀😀😀😀
 
Alikuwa na jeuri, kiburi mbishi na mjuaji, mpaka nilibadilisha dini ili nimuoe ila muda nikimpigia simu anasema mm sio official japo nimebadilisha dini, baba yake nae akataka nikabadilishe na jina.

Unaweza kumpigia simu mara 10 asipokee yeye atakupigia mara moja usipopokea basi tena.

Ukimuuliza anasema ulitaka nikupigie mara ngapi??
Pia japo nilimtoa bikra ila alikuwa na Gundu ukiwa nae mishe haziendi.

Mwisho anapenda sana hela aliwai kuniambia wanaweka tunataka hela huku akitikisa vidole viwili kama anahesabu hela.

Nimepiga chini
 
Duh hadi ukachukua uamuzi kubadirisha dini mkuu basi kwa mtu anaejitambua angekuheshimu vibaya mno, ila huyu akili zilikuwa tupu.

Hongera kwa kupiga chini ila siku nyingine usimuoneshe manzi umefall sanaaa, atakutesa, mabinti hawa wa instagram ni pasua kichwa mkuu
 
Tulikuwa tunagombana vizuri tu, sasa katika harakati zile za kugombana mwenzangu akaenda extra miles yani alitumia meno!, na namna alivyoning'ata ilinijulisha kabisa hanipendi yule dada!, we mtu anakung'ata kwenye koromeo kweli kana kwamba chui amemkamata swala!.
for sure that was too heavy for me to carry!, nilipambana nikachomoka kwenye hiyo hatari japo nguvu zilikuwa zimenikata ila nilichomoka!

nawe jiweke kwenye hicho kikombe, halafu paa umepata bahati ukachoropoka ungerudi...???
Hahahahaha nimechekaaa 🤣 🤣 🤣 ukahisi anataka kukupeleka mawinguni.
 
Duh hadi ukachukua uamuzi kubadirisha dini mkuu basi kwa mtu anaejitambua angekuheshimu vibaya mno, ila huyu akili zilikuwa tupu.

Hongera kwa kupiga chini ila siku nyingine usimuoneshe manzi umefall sanaaa, atakutesa, mabinti hawa wa instagram ni pasua kichwa mkuu
ACHA kaka ni mwanamke mzuri kwa macho, kwao wanajua ana Tabia njema ila ana jeuri moja mbaya sana.

Pia kwa Tabia za ndani ndani ana uchoyo sana roho mbaya pia hanaga kawaida ya KUSALIMIA watu.

Anaweza kutoka dar mpaka kigoma hajaongea jambo amefumba mdomo tu.
 
Huyu ana kisirani, nina wajua sana wanawake wa aina hii, alafu kibaya zaidi akijua unampenda , oooooh, ndio utakoma mkuu.
 
Tulipendana sana ila chanzo cha kuachana ilikua dini yaani yeye alikua gaza mm israel so tukaachana kiroho safi tu sasa ana familia na mm nina familia ila huwa tunakulana ikitokea mmoja wetu yupo mkoa wa mwenzie....ni dhambi ila tulishashindwa kuiacha. Siku za mwizi ni Arobaini.
 
Umeifunga mada mkuu.

Penzi halina talaka nimeshaona sana hiyo.

Namna watu wanavyoachana wawezasema hawa hata wakikutana njiani hawawezi semeshana!

Baadaye unakuta wapo pamoja tena wanakulakula tu sangara!

Nadhani performance ya kitandani hufanya watu wang'ang'aniane washindwe kusahauliana!
Mibongo sisi kuachana bado sana 😹😹

Hayo ya kuachana tuwaachie wazungu..!!
Labda mmoja afe ndo penzi linaisha. 🤣
 
Tulipendana sana ila chanzo cha kuachana ilikua dini yaani yeye alikua gaza mm israel so tukaachana kiroho safi tu sasa ana familia na mm nina familia ila huwa tunakulana ikitokea mmoja wetu yupo mkoa wa mwenzie....ni dhambi ila tulishashindwa kuiacha. Siku za mwizi ni Arobaini.
Sakasaka Mao umeona kazi hiyo.!! 😹

Hawa sasa mpk mimba watapeana na watampa mwanaume mwingine alee mtoto sio wake, na mkewe naye anapasha kiporo na mwingine..!! Hizi ndo tabia zetu wabongo..!
 
Hapana,

Walokole Wana mambo ya ajabu sanaa kwenye uhusiano.

Mimi MTU wamataifa naendana na wamataifa wenzangu.

MTU hata kwenda klabu kuruka majoka hataki ....

Apite hivi
Walokole jau sana, wako na ndugu zao wasabato.!! 😹😹
 
Sakasaka Mao umeona kazi hiyo.!! 😹

Hawa sasa mpk mimba watapeana na watampa mwanaume mwingine alee mtoto sio wake, na mkewe naye anapasha kiporo na mwingine..!! Hizi ndo tabia zetu wabongo..!
Kwakweli huwa tukikutana tunajiambia hii ni dhambi tumetenda hivyo hatutarudia tena yaani ndio mara ya mwisho lakini cha kushangaza hiyo mara ya mwisho haijawahi tokea....Tunafanya kosa sana kwakweli sijui siku tukishikwa itakuaje, yaani itakua majuto ni mjukuu.
 
Back
Top Bottom