sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,152
- 48,355
Kwa hiyo mkuu Una makovu kwenye kongomeloTulikuwa tunagombana vizuri tu, sasa katika harakati zile za kugombana mwenzangu akaenda extra miles yani alitumia meno!, na namna alivyoning'ata ilinijulisha kabisa hanipendi yule dada!, we mtu anakung'ata kwenye koromeo kweli kana kwamba chui amemkamata swala!.
for sure that was too heavy for me to carry!, nilipambana nikachomoka kwenye hiyo hatari japo nguvu zilikuwa zimenikata ila nilichomoka!
nawe jiweke kwenye hicho kikombe, halafu paa umepata bahati ukachoropoka ungerudi...???