Ex wako wa mwisho, nini ilikuwaje sababu ya nyie kuachana/kukuacha/kumuacha

Ex wako wa mwisho, nini ilikuwaje sababu ya nyie kuachana/kukuacha/kumuacha

Hahahahahah
Tulikuwa tunagombana vizuri tu, sasa katika harakati zile za kugombana mwenzangu akaenda exta miles yani alitumia meno!, na namna alivyoning'ata ilinijuilisha kabisa hanipendi yule dada!, we mtu anakung'ata kwenye koromeo kweli kana kwamba chui amemkamata swala!.
for sure that was too heavy for me to carry!, nilipambana nikachomoka kwenye hiyo hatari japo nguvu zilikuwa zimenikata ila nilichomoka!

nawe jiweke kwenye hicho kikombe, halafu paa umepata bahati ukachoropoka ungerudi...???
Aiseee nimecheka basi tuu

Pole mkuu😲😂
 
Tulikuwa tunagombana vizuri tu, sasa katika harakati zile za kugombana mwenzangu akaenda extra miles yani alitumia meno!, na namna alivyoning'ata ilinijulisha kabisa hanipendi yule dada!, we mtu anakung'ata kwenye koromeo kweli kana kwamba chui amemkamata swala!.
for sure that was too heavy for me to carry!, nilipambana nikachomoka kwenye hiyo hatari japo nguvu zilikuwa zimenikata ila nilichomoka!

nawe jiweke kwenye hicho kikombe, halafu paa umepata bahati ukachoropoka ungerudi...???
Vampire huyo
 
Nilishika simu yake nikakuta ana magroup ya telegram kibao na anajitangaza kujiuza.

Nilichukua jina lake la telegram halafu nikamfuata kuongea biashara. Tukakubaliana bei ila wakati wote hajui ni mimi.

Nikamuelekeza lodge ya kwenda, kufika akanikuta nimelaza ndambi langu. Akata kunibadilishia story kuwa kaja kunifumania, nikamuonyesha chats zote pamoja na screenshot za chats za simu yake.

Akijiliza uongo na kuomba msamaha, nikamwambia asaule nimpige kimoko kama tulivyokubaliana kibiashara nimpe chake asepe.

Kilio kikaongezeka kuwa namuona yeye malaya, nikamwambia simuoni malaya bali yeye ni malaya.

Akasepa kwa hasira na ndio ikawa The End.
Dah hiki kisa ni kiboko!
Nadhani nawe mkuu ulikuwa tayari unejiandaa kisaikolojia vya kutosha.

Maana jambo hilo huleta mtikisiko pande zote, lakini kwako ulilitekeleza kirahisi sana.

Kwa hiyo ulilipanga jambo hilo kitambo sana kabla ya tukio.
Lakini je kutoka Lodge hajakutaim namna ya kugawana fito, ulimuwahi getto?
 
Back
Top Bottom