Ex wako wa mwisho, nini ilikuwaje sababu ya nyie kuachana/kukuacha/kumuacha

Ex wako wa mwisho, nini ilikuwaje sababu ya nyie kuachana/kukuacha/kumuacha

Kwakweli huwa tukikutana tunajiambia hii ni dhambi tumetenda hivyo hatutarudia tena yaani ndio mara ya mwisho lakini cha kushangaza hiyo mara ya mwisho haijawahi tokea....Tunafanya kosa sana kwakweli sijui siku tukishikwa itakuaje, yaani itakua majuto ni mjukuu.
Wewe huyo mwanamke ndio hatma yako na najua unajisikia amani ukiwa naye..!!

Sema dunia una unafki mwingi, ukute na mkeo naye kuna njemba inamkaza, na huyo jamaa unayemgongea mke wake naye ana mwanamke mwingine wanafanya mnachofanya..!!

Hapo mmoja akileta ngoma mmeisha, mnaambukizana vibaya..!!
 
Sio mchezo mkuu ila mwaka huu naona tutaachana rasmi maana january nitakua ughaibuni huko nikachukue masters yangu ikibidi nitulie huko mpaka nikunje na phd kabisa.
 
Sio mchezo mkuu ila mwaka huu naona tutaachana rasmi maana january nitakua ughaibuni huko nikachukue masters yangu ikibidi nitulie huko mpaka nikunje na phd kabisa.
Hapo hamuachani Ila mnapumzika coz mko mbali bhana weeh 😹😹

Hilo li-mechi la kuagana sasa.!! Km nawaona 🤣😹😹
Unirushie hata ka-clip mkuu.
 
Alikuwa na jeuri, kiburi mbishi na mjuaji, mpaka nilibadilisha dini ili nimuoe ila muda nikimpigia simu anasema mm sio official japo nimebadilisha dini, baba yake nae akataka nikabadilishe na jina.

Unaweza kumpigia simu mara 10 asipokee yeye atakupigia mara moja usipopokea basi tena.

Ukimuuliza anasema ulitaka nikupigie mara ngapi??
Pia japo nilimtoa bikra ila alikuwa na Gundu ukiwa nae mishe haziendi.

Mwisho anapenda sana hela aliwai kuniambia wanaweka tunataka hela huku akitikisa vidole viwili kama anahesabu hela.

Nimepiga chini
Ulirogwa mkuu.. Mpk kubadili dini..??? Hatarii
 
Sio mchezo mkuu ila mwaka huu naona tutaachana rasmi maana january nitakua ughaibuni huko nikachukue masters yangu ikibidi nitulie huko mpaka nikunje na phd kabisa.
Huo muda wa kusoma soma ungeutumia kutafuta pesa mkuu...It doesn't take a master's degree for smart one to be rich...All you need is ordinary degree! Dunia inahitaji ubunifu zaidi sio mrundikano wa degrees..Wasomi wengi wamekufa masikini Kwa kutumia muda mwingi shuleni! Imagine unasoma hadi PHD alafu unarudi kulipwa salary 5M or 7M..Unless kama unasoma kwa ajili prestige ( sifa) lakini bachelor degree inatosha ikiwa wewe ni husler
 
Hahahaha hebu kwanza nicheke

Nilimwambia nataka kuja kwenu nijitambulishe nikuo si uko tayari, akasema oooh mama alisema mpaka nisome nimalize digrii ndio niolewe kwa sasa hawezi kuelewa, kwani huwezi nivumilia mpaka nimalize? Nikamwambia hiyo digrii utasomea kwangu akasema haiwezekani basi nikampa mkono wa kwaheri, baada ya miez kam minne mbele nikasikia ni mjamzito, baada ya mwaka ana mtoto akaanza kuitafuta kama bado sijaoa. Nikamwambia sijaoa ila ni mtu ambaye tayari nimemlipia mahari. Mpka leo ni single maza wa miaka 31 sasa
hUu ujasiri wa kumtafuta mwanaume wakat wameshapigwa mimba huwa wanaupata wapi

Unajua zaman nilikuwa naona wanaume wakisimulia nikawa naona sio kweli haiwezekan,mtu anarudije wakat kakusaliti na kapigwa mimba na mtoto yupo nae

Ila kuna siku hii kitu imenikuta ndo nikaamin kweli kuna watu ni wajasiri,yaan mtu anaondoka kwa mbwembwe baadae eti anaomba arudi na wakati yupo na mtoto tayar
 
Tulikuwa tunagombana vizuri tu, sasa katika harakati zile za kugombana mwenzangu akaenda extra miles yani alitumia meno!, na namna alivyoning'ata ilinijulisha kabisa hanipendi yule dada!, we mtu anakung'ata kwenye koromeo kweli kana kwamba chui amemkamata swala!.
for sure that was too heavy for me to carry!, nilipambana nikachomoka kwenye hiyo hatari japo nguvu zilikuwa zimenikata ila nilichomoka!

nawe jiweke kwenye hicho kikombe, halafu paa umepata bahati ukachoropoka ungerudi...???
Siku hiyo hata Cocktail haikupita mkuu ingawa koo liliwasha upige hata tatu 🤣🤣
Wapi mkuu Min me
 
Huo muda wa kusoma soma ungeutumia kutafuta pesa mkuu...It doesn't take a master's degree for smart one to be rich...All you need is ordinary degree! Dunia inahitaji ubunifu zaidi sio mrundikano wa degrees..Wasomi wengi wamekufa masikini Kwa kutumia muda mwingi shuleni! Imagine unasoma hadi PHD alafu unarudi kulipwa salary 5M or 7M..Unless kama unasoma kwa ajili prestige ( sifa) lakini bachelor degree inatosha ikiwa wewe ni husler
Mkuu ni kweli unalosema uko sahihi kabisa japo kila mtu ana vipaumbele vyake.
 
Kwa kweli ex wangu popote ulipo kama bado Mery unatabia ile ya kujamba kuanzia mwanzo wa game mpaka mwisho aisee nna uhakika mpaka sas utakuwa umeachwa na wanaume si chini ya watatu...imagine mtu anajamba kuanzia mwanzo wa mgegedo mpaka mwisho,yan ni ushuzi unanuka ******* aisee....nikaamua kupiga chini shit
 
Hahahaha hebu kwanza nicheke

Nilimwambia nataka kuja kwenu nijitambulishe nikuo si uko tayari, akasema oooh mama alisema mpaka nisome nimalize digrii ndio niolewe kwa sasa hawezi kuelewa, kwani huwezi nivumilia mpaka nimalize? Nikamwambia hiyo digrii utasomea kwangu akasema haiwezekani basi nikampa mkono wa kwaheri, baada ya miez kam minne mbele nikasikia ni mjamzito, baada ya mwaka ana mtoto akaanza kuitafuta kama bado sijaoa. Nikamwambia sijaoa ila ni mtu ambaye tayari nimemlipia mahari. Mpka leo ni single maza wa miaka 31 sasa
Mkuu huyo alikua ana chaguo lake la kwanza na wewe ni chsguo lake la pili. Ndiyo maana baada ya Muezi 4 kuachana akapata mimba, Mwanamke anaekupenda na Mwenye hofu ya Mungu ukimuacha anachelewa kwenye kuingia kwenye Mahusiano mapya, Ndiyo maana huyo wako baada kuona aliyekua anamtaka hajamuoa no kama mimba ikabidi arudi mbio mbio kwa chaguo la pili ambalo ni wewe, Wanawake akili zao fupi yani wewe uzalishwe na Mwingine ndoa uitafute kwa Mwingine.
 
Back
Top Bottom